Ukisikia chama kushika hatamu ni huku

Ukisikia chama kushika hatamu ni huku

Ndivyo mnavyojidanya,sasa kama huna hofu na wapinzani yanini kuwaengua wote.
Shiriki peke yako ,sasa ushawaengua wagombea wote alafu unataka washiriki kwenye nini Pumbavu sana.
 
Utakua na matatizo hauko sawa kwani huoni kweli tatizo liko wapi, mihemuko ya upinzani hapo iko wapi, hiv inaingia akirin uoinzani wote hawajui kujaza form alafu ccm wao ndo mabigwa, kama huna hoja unaweza nyamaza kuliko kutuharibia weekend
weekend naiharibu mimi au stress zako za kukosa hela ya pombe??


ccm mko nao toka 1994,hamjui mbinu zao bado mnatafuta huruma miaka 25 leo?
 
Tunaimani na chama. Tunaimani na mwenye chama. Kwa mwenendo huu wa kususa mjiandae kisaikolojia. Mpaka uchaguzi ujao kule bungeni itaongeleka lugha moja.
Na baada ya miaka hiyo Tanzania iwe kama Uingereza na donor country sio kuwe na vilio zaidi.
 
wajitambue kwanza wao ni wapinzani wa kitu gani,sio kick kwa kila jambo.

siku hizi kama huna hoja ni vigumu kueleweka,siasa za mihemko hazina nafasi.
Nyie ndio walewale so hamtuumizi kichwa kuwafikiria,tumewaachia ushindi wa mezani point 3 muhimu bado mnalalamika
 
Nyie ndio walewale so hamtuumizi kichwa kuwafikiria,tumewaachia ushindi wa mezani point 3 muhimu bado mnalalamika
nani analalamika?

kimsingi tunawashangaa,uko vitani halafu unasusa.
 
nani analalamika?

kimsingi tunawashangaa,uko vitani halafu unasusa.
Unashindanaje na mtu ambaye dalili zinaonesha kabisa kwamba anataka apite bila ushindani?
1. Hivi ni kweli upinzani wote hawawezi kujaza form vizuri ila ccm ndio wanaweza kujaza form?
2. Deadline ya kurudisha form wameitangaza wenyewe ila siku hiyo office za watendaji zinafungwa, hv kweli kwa mtu mwenye akili timamu anaweza kuendelea na uchaguzi tena hapo?
 
kumbe sasa hoja isiwe hatutashiriki uchaguzi.

bali washiriki wetu wameenguliwa.
duh walimu wako darasani walipata shida sana kukuelekeza,, any way ipo hivi nanukuu HATUTASHIRIKI KWA SABABU WAGOMBEA WETU WAMEENGULIWA KWA HILA
 
Unanufaikaje wewe msukule wa CCM?
mimi sinufaiki kama vile ambavyo nisingenufaika wapinzani kushiriki.

ila ni katika kuheshimu na kubariki maamuzi yenu,umemsikia waitara bungeni??
 
mimi sinufaiki kama vile ambavyo nisingenufaika wapinzani kushiriki.

ila ni katika kuheshimu na kubariki maamuzi yenu,umemsikia waitara bungeni??
Wewe msukule wangeshiriki vipi huku fomu walijaza vibaya?? Au mnasahau hizo kauli nyinyi vilaza??
 
Nimeshangaa wagombea wa upinzani pekee ndo hawajui majina ya maeneo yao mfano kata au jimbo
 
Back
Top Bottom