kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,874
- 4,161
Tunaimani na chama. Tunaimani na mwenye chama. Kwa mwenendo huu wa kususa mjiandae kisaikolojia. Mpaka uchaguzi ujao kule bungeni itaongeleka lugha moja.
Hivi ndugu yangu kwa akili tu ya darasa la pili ,rafiki yako unmjua kabisa hiki kitu amenitegeshea ili nianguke utakubali kwa akili yako uanguke wakati Unaona au utakikataa hicho kitu na kumuachia.Useme ukweli kutoka moyonikususa ni michezo ya kitoto.
Kwa upuuzi wa CCM ulitaka wafanye nini??kususa ni michezo ya kitoto.
kususa ni michezo ya kitoto.
wajitambue kwanza wao ni wapinzani wa kitu gani,sio kick kwa kila jambo.Kwa upuuzi wa CCM ulitaka wafanye nini??
kumbe sasa hoja isiwe hatutashiriki uchaguzi.Una akili timamu mkuu? Sasa kama wagombea wako wote wameenguliwa utashiriki ili umpigie kura nani?!
kumbe sasa hoja isiwe hatutashiriki uchaguzi.
bali washiriki wetu wameenguliwa.
Hilo ndo linalotakiwa kama vile kabla ya 1995. Ulipenda au vipi?Tunaimani na chama. Tunaimani na mwenye chama. Kwa mwenendo huu wa kususa mjiandae kisaikolojia. Mpaka uchaguzi ujao kule bungeni itaongeleka lugha moja.
acha watu wafanye yao sasa.na tusisikie kelele.Kinachokusumbua ni logic thinking! Wagombea wako wakienguliwa automatic huwezi kushiriki tena huo uchaguzi kwa hiyo unawataarifu wanachama wako kuwa hutashiriki
Wewe mzee kwa yanayofanywa na CCM dhidi ya wapinzani huyajui??wajitambue kwanza wao ni wapinzani wa kitu gani,sio kick kwa kila jambo.
siku hizi kama huna hoja ni vigumu kueleweka,siasa za mihemko hazina nafasi.
Sasa kwanini Unasema wamesusa huku tayari mlikuwa hamuwataki wagombee??acha watu wafanye yao sasa.na tusisikie kelele.
Good idea, then pesa Na gharama zote za uchaguzi, wapewe mikopo wanafunzi wa chuo kikuuCha msingi wafute mfumo wa vyama vingi warudishe chama kimoja maana inavyoonesha jamaa hawahitaji upinzani, wanataka wabaki wenyewe.
Utakua na matatizo hauko sawa kwani huoni kweli tatizo liko wapi, mihemuko ya upinzani hapo iko wapi, hiv inaingia akirin uoinzani wote hawajui kujaza form alafu ccm wao ndo mabigwa, kama huna hoja unaweza nyamaza kuliko kutuharibia weekendwajitambue kwanza wao ni wapinzani wa kitu gani,sio kick kwa kila jambo.
siku hizi kama huna hoja ni vigumu kueleweka,siasa za mihemko hazina nafasi.
Kabisaaa...Good idea, then pesa Na gharama zote za uchaguzi, wapewe mikopo wanafunzi wa chuo kikuu
Mkuu hawa jamaa hawajielewi kabisa,na km wanajielewa basi wanajitoa ufahamu. Hivi wagombea wote wameondolewa,walitaka wakampgie kuta nani?Utakua na matatizo hauko sawa kwani huoni kweli tatizo liko wapi, mihemuko ya upinzani hapo iko wapi, hiv inaingia akirin uoinzani wote hawajui kujaza form alafu ccm wao ndo mabigwa, kama huna hoja unaweza nyamaza kuliko kutuharibia weekend
Kwenye picha refa kamkosea kidogo rangi. Maneno TAMISEMI yalitakiwa yawe rangi ya njano pamoja na sox[emoji30][emoji30][emoji30] View attachment 1258072