Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,430
- 8,378
Majuzi nikiwa kwenye daladala nikawasikia abiria wawili wa kike wakiwa wanajadiliana mambo mbalimbali ya kazini kwao.
Kilichonisukuma hadi nikaamua kuandika uzi huu ni pale mmoja wao aliposema kuwa ukiona unasifiwa sana na mabosi wako kazini basi ujue kuwa wewe ndo unafanya kazi sana kuliko wengine na kwa maana hiyo unaumizwa na mwisho wa siku au wa mwezi watumishi wote mnapata mshahara mmoja.
Hivyo kwa maoni yake hakuna haja ya kujiumiza sana na mwisho wa siku unaishiwa kupewa sifa tu.
Wataalamu wa ajira, utumishi na mahusiano kazini naomba tulijadili hili.