Ukishindana na mwanamke kuchonga umekwisha!

Ukishindana na mwanamke kuchonga umekwisha!

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,442
Mwanaume anayepata muda wa kuongea vizuri, kwa siku huongea maneno 2000, wakati mwanamke huongea maneno 7000. Hivyo ukikutana na mwanamke mbeya, anayechonga sana au mcharuko, usimlaumu au kumwita majina mabaya, uwiano huo unadhihirisha udhaifu huo, huna haja ya kubishana nao………….. utapoteza muda wako bure.

Ni kwa mujjibu wa BBC katika matangazo yake ya Jumamosi ya tarehe 29[SUP]th[/SUP] October 2011,
 
Duu! Aisee umenikumbusha mwaka 1996 Padri mmoja pale dodoma don bosco seminary aliwahi kusema haya. '95% of what we talk/speak daily, is about other people. and if we decide not to talk about others, we shall have only 2% to talk'
 
binafsi sidhani kama huwa hata hayo maneno 2000 huwa nafikisha
 
hasa wale wa uswaz nadhani hata 1000 huwa yana fika
 
dah! Ni kweli mademu wanajua kuchonga ngenga. Nalog off
 
Mwanaume anayepata muda wa kuongea vizuri, kwa siku huongea maneno 2000, wakati mwanamke huongea maneno 7000. Hivyo ukikutana na mwanamke mbeya, anayechonga sana au mcharuko, usimlaumu au kumwita majina mabaya, uwiano huo unadhihirisha udhaifu huo, huna haja ya kubishana nao………….. utapoteza muda wako bure.

Ni kwa mujjibu wa BBC katika matangazo yake ya Jumamosi ya tarehe 29[SUP]th[/SUP] October 2011,

nieleweshe kwenye udhaifu mkuu, mwenye udhaifu hapo ni mwanaume kwa kuongea maneno 2000 tu au mwanamke kwa kuwa na uwezo wa kuongeamaneno 7000?
 
hii kali sana,
mbona kwenye ku to ngo za wanaume ndo wanaongea sana.
 
Maneno 7000 halafu wakawa kama kumi hivi ofisini... Unaongelea maneno 70k(70,000). Ukiconvert kwenda kwenye nishati ya umeme unaweza kuproduce Megawatt kadhaa za kutosha ofisini kutengeneza umeme siku hiyo!
 
mwanaume anayepata muda wa kuongea vizuri, kwa siku huongea maneno 2000, wakati mwanamke huongea maneno 7000. Hivyo ukikutana na mwanamke mbeya, anayechonga sana au mcharuko, usimlaumu au kumwita majina mabaya, uwiano huo unadhihirisha udhaifu huo, huna haja ya kubishana nao………….. Utapoteza muda wako bure.ni kwa mujjibu wa bbc katika matangazo yake ya jumamosi ya tarehe 29[sup]th[/sup] october 2011,
ba mdogo na ww ebu tupe pumzi bana!! Khaaa!! Wanawake wanawake!!
 
Back
Top Bottom