kawakama
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,299
- 391
Kwa muda mrefu nilikuwa najaribu kuutafakari mgogoro uliopelekea vita nchini Sudan ya kusini na kupelekea watu zaidi ya 1200 kufa na mamia kwa maelfu kuyahama makazi na kupata shida ikiwa ni magonjwa ya milipuko na njaa kwa watotot na akina mama.
Nimejaribu kufikiria nini chanzo cha yote hayo nchini s.sudan na watu kufariki wasio na hatia nikagundua kuwa chanzo cha yote hayo ni HOFU , WASIWASI NA KUTOJIAMINI kwa Kiongozi wa nchi hiyo SALVA KIIe wa rais.
Huyu jamaa hajiamini na kumuhofia makamu wake wa rais na kuja na visingizio kuwa ana mpango wa kumpindua kumbe ni woga na kutokana na kujua kwamba makamu huyo wa rais anayajua madudu mengi sana ya salva kiir akaona ni vyema am "fix" mapema pasi kujua kuwa makamu huyo wa rais ana ushawishi mkubwa sana kwa wananchi na pia katika jeshi.
Baada ya kumtimua kazi kwa kisingizio cha UASI leo ndo tunaona madhara makubwa yanayoendelea kutokea s.sudan na yeye mwenyewe anahaha namna ya kuutatua mgogoro huo..kwa kuwa amelikoroga HANA BUDI KULINYWA.
kama viongozi wa chadema wangekuwa na akili timamu wangeweza kujifunza kupitia suala la sudani ya kusini na madhara yanayoendela kujitokeza hivi sasa ambayo yanagharimu maisha ya raia wasio na hatia.
FREEMAN MBOWE hana tofauti kabisa na salva kiir rais wa s.sudan kwan kwa WOGA WAKE, KUTOJIAMINI KWAKE NA WASIWASI WAKE anamuogopa na kumuhofia sana kijana mdogo ZITTO ZUBER KABWE na kufanya kama alivofanya SALVA KIIR wa s.sudan kwa kumsingizia UASI na USALITI ili wam "fix" kama alivyofixiwa makamu wa rais wa s.sudan
MY TAKE:kama chadema na freeman mbowe mtaendelea na mpango dhaifu wa kumfukuza ZZK hakika chama chenu hakiwezi kukwepa ya sudan kusin kwa namna yoyote.
Wenye akili timamu watanielewa vizuri sana lakini misukule haiwezi kunielewa hata kidogo zaidi ya kuja na matusi na kashfa pasipo kusoma vizuri na kuelewa na kutafakari ki great thinker.