Ukishangaa ya Salva Kiir utaona ya Freeman Mbowe

Ukishangaa ya Salva Kiir utaona ya Freeman Mbowe

Status
Not open for further replies.
mleta mada na ww ni mwoga.misukule ndo nini sasa?punguza ukali wa maneno.
 
Book 7 at work. Mlipumzika na sasa mmerudi kwa ari mpya na kasi mpya kuleta propaganda JF. Niliishawaambia nendeni mkawaambie wananchi mmtekeleza vipi ilani yenu ya uchaguzi badala ya kushinda kwenye mitandao mkipiga propaganda ambazo ki ukweli haziwasaidii.

Zitto aliishatoswa tayari, tafuta lingine la kuzumgumzia.

Tiba
 
mbowe akikuona kiti chake unakiviza anakuita MHAINI,maana halisi ya mhaini ni mtu anayetaka kupindua DOLA sasa chama chetu CDM kimekua lini DOLA?
 
Mtatunga kila aina ya mifano mwaka huu.

mbowe hana tofauti na MUSEVEN,PK au MUGABE kwa kutangaza kupitia kwa mzee mtei hajamuona mwenye sifa za kuwa mwenyekiti chadema,na matokeo yake ni kuongeza terms za kutokua na ukomo wa madaraka
 
huiyui vyema historia ya SUDAN YA KUSINI so usiandike kitu usicho kuwa na ushahidi nacho
 
..... wenye akili timamu watanielewa vizuri sana lakini misukule haiwezi kunielewa hata kidogo zaidi ya kuja na matusi na kashfa pasipo kusoma vizuri na kuelewa na kutafakari ki great thinker. lakini hata ivo nawakaribisha wote MISUKULE na GREAT THINKERS tujadili.

SIJUI ......

Hivi CHADEMA imefikia hatua hiyo ya kuongoza nchi!!! SIJUI..... Serikali iliyoko madarakani inafanya nini? kweli ni dhaifu kiasi hicho? Kuna haja gani ya kusoma na kutafakari kama wewe ni GT na unayaona haya yanaweza kutokea kwanini usiyaseme bayana ili na sisi
MISUKULE tuweze tujua mapema kabla hayajatufika maana sisi uwezo wa kufikiri ni mdogo na kama huwezi kusema bayana basi wewe ni MSUKULE na utetezi wako kwa ZZK hauna maana ni mapenzi yako binafsi. Sisi watanzania tuna serikali yetu imara chini ya Chama cha Mapinduzi haiwezi kuyumbishwa na Mbowe na kwa vyovyote vile ili CHADEMA iweze kuendelea lazima imuondoe Zitto maana ni Msaliti mkubwa wa CDM.
 
Book 7 at work. Mlipumzika na sasa mmerudi kwa ari mpya na kasi mpya kuleta propaganda JF. Niliishawaambia nendeni mkawaambie wananchi mmtekeleza vipi ilani yenu ya uchaguzi badala ya kushinda kwenye mitandao mkipiga propaganda ambazo ki ukweli haziwasaidii.

Zitto aliishatoswa tayari, tafuta lingine la kuzumgumzia.

Tiba

Dah umenifurahisha sana tiba,iviunavaa kiatu namba ngapi tena???nikupitishie badae lol. Kunawatu wana mahaba ya dhati na mbowe. Kutwa midomoni mwaya mbaya zaidi hamuharibu chochote. Watanzania wa sasa cyo wa miaka miaka ile eeee watu tunajielewa. Mtawashawish mafala tu. Alafu ivi kwani ni lazma zito abaki chadema??? Vyama cvpo vingi jamni? Aende ccm bac wakampe cheo tuone chadema kama itakufa kama mnavyoota. Atuachie chadema yetu. Khaa
 
Tatizo la Mbowe hana elimu lakini anakumbatia madaraka makubwa

Lizaboni, hamjui hata namna ya kujipanga kuleta hoja zenye mashiko hapa. Hivi Elimu aliyo nayo huyo M/Kiti wa chama chako imetusaidia nini sisi kama watanganyika? Urais ni taasisi sio cheo cha mtu. Kama hiyo taasisi ikiyumba basi urais ndipo nao huyumba.
Hatuhitaji kuwa na Profesa wa ubongo asiye na hekima na maarifa. Mfalme Suleiman alimwomba Mungu ampe Hekima na Maarifa ya kuwaongoza Taifa teule.
Hakuomba apate Phd ili aitwe Dr. Weye yaonesha una tatizo na kitu kinachoitwa aleji na uongozi wa Chadema. Hatuhitaji Dr asiyekuwa na hekima. Tunamhitaji huyo huyo asiye na kisomo ili asimalize hazina yetu kila siku kwenye ndege na kibaba kuomba. Akitutangaza kuwa sisi ni maskini na tena hajui hata ni kwa nini sisi ni maskini. Full stop.
 
mbowe akikuona kiti chake unakiviza anakuita MHAINI,maana halisi ya mhaini ni mtu anayetaka kupindua DOLA sasa chama chetu CDM kimekua lini DOLA?

Na hii mara zote ni sifa ya MWENYE ELIMU NDOGO.

HEBU NGOJA TUSUBIRI PRESS RELEASE YA T.MAKENE YA KUTUELEZA WAPI JAMAA ALIPOSOMEA MASTERS AU PHD.

jamaa huyo kwa kulamba viatu hajambo. Akili yote ipo kumtumikia mwajiri wake....
 
Kwa muda mrefu nilikuwa najaribu kuutafakari mgogoro uliopelekea vita nchini Sudan ya kusini na kupelekea watu zaidi ya 1200 kufa na mamia kwa maelfu kuyahama makazi na kupata shida ikiwa ni magonjwa ya milipuko na njaa kwa watotot na akina mama.

Nimejaribu kufikiria nini chanzo cha yote hayo nchini s.sudan na watu kufariki wasio na hatia nikagundua kuwa chanzo cha yote hayo ni HOFU , WASIWASI NA KUTOJIAMINI kwa Kiongozi wa nchi hiyo SALVA KIIe wa rais.

Huyu jamaa hajiamini na kumuhofia makamu wake wa rais na kuja na visingizio kuwa ana mpango wa kumpindua kumbe ni woga na kutokana na kujua kwamba makamu huyo wa rais anayajua madudu mengi sana ya salva kiir akaona ni vyema am "fix" mapema pasi kujua kuwa makamu huyo wa rais ana ushawishi mkubwa sana kwa wananchi na pia katika jeshi.

Baada ya kumtimua kazi kwa kisingizio cha UASI leo ndo tunaona madhara makubwa yanayoendelea kutokea s.sudan na yeye mwenyewe anahaha namna ya kuutatua mgogoro huo..kwa kuwa amelikoroga HANA BUDI KULINYWA.

kama viongozi wa chadema wangekuwa na akili timamu wangeweza kujifunza kupitia suala la sudani ya kusini na madhara yanayoendela kujitokeza hivi sasa ambayo yanagharimu maisha ya raia wasio na hatia.

FREEMAN MBOWE hana tofauti kabisa na
salva kiir rais wa s.sudan kwan kwa WOGA WAKE, KUTOJIAMINI KWAKE NA WASIWASI WAKE anamuogopa na kumuhofia sana kijana mdogo ZITTO ZUBER KABWE na kufanya kama alivofanya SALVA KIIR wa s.sudan kwa kumsingizia UASI na USALITI ili wam "fix" kama alivyofixiwa makamu wa rais wa s.sudan

MY TAKE:kama chadema na freeman mbowe mtaendelea na mpango dhaifu wa kumfukuza ZZK hakika chama chenu hakiwezi kukwepa ya sudan kusin kwa namna yoyote.

Wenye akili timamu watanielewa vizuri sana lakini misukule haiwezi kunielewa hata kidogo zaidi ya kuja na matusi na kashfa pasipo kusoma vizuri na kuelewa na kutafakari ki great thinker.

What's your point? Kwahiyo zzk abaki chadema hata kama Ñî msaliti, mhujumu na mamluk ili kukwepa ya Sudan ya kusini?

Wangapi wamefukuzwa/ kuvuliwa uanachama kwenye vyama vyao bila kutokea ya sudani ya kusini. WAPO akina mansoor himid, Maalim serif na engine wengi.
 
..... wenye akili timamu watanielewa vizuri sana lakini misukule haiwezi kunielewa hata kidogo zaidi ya kuja na matusi na kashfa pasipo kusoma vizuri na kuelewa na kutafakari ki great thinker. lakini hata ivo nawakaribisha wote MISUKULE na GREAT THINKERS tujadili.

SIJUI ......

Hivi CHADEMA imefikia hatua hiyo ya kuongoza nchi!!! SIJUI..... Serikali iliyoko madarakani inafanya nini? kweli ni dhaifu kiasi hicho? Kuna haja gani ya kusoma na kutafakari kama wewe ni GT na unayaona haya yanaweza kutokea kwanini usiyaseme bayana ili na sisi
MISUKULE tuweze tujua mapema kabla hayajatufika maana sisi uwezo wa kufikiri ni mdogo na kama huwezi kusema bayana basi wewe ni MSUKULE na utetezi wako kwa ZZK hauna maana ni mapenzi yako binafsi..

Mkuu upo sahihi " Sisi watanzania tuna serikali yetu chini ya Chama cha Mapinduzi haiwezi kuyumbishwa na Mbowe na kwa vyovyote vile ili CHADEMA iweze kuendelea lazima imuondoe Zitto maana ni Msaliti mkubwa wa CDM"
 
Inahitaji uwe MSUKULE kweli kweli kuamini eti CHADEMA watashinda Uchaguzi 2015.Wakati akina Kinana wako busy kuimarisha mitandao hai ya Chama chao katika ngazi za chini kabisa,Kwa mfano hivi sasa wameanzisha VICOBA lengo likiwa kukamata kada zote za Watanzania wawe wapiga kura wao.Tujiulize CHADEMA ya Mbowe wanafanya nini kuimarisha mitandao yao ya Wapiga kura zaidi ya Makao Makuu kuzitafuna fedha huko bila ya kuwakumbuka wale wa chini.Uongozi huu una madhaifu mengi mno.Kwanza Uongozi wake hauna uwakilishi mzuri wa Watanzania wa kutoka makundi yote ya kijamii.Uongozi wa Kitaifa unaundwa kwa asilimia kubwa na watu wa dini moja na wa kanda moja.Hii ni kasoro kubwa itakayoinyima Chadema ushindi 2015 na ni kasoro ambayo Uongozi wa Mbowe umeonekana kupuuzia na hawataki kabisa kulifanyia kazi labda Mbowe hataki Chadema iingie Ikulu.
 
chama hiki hakiwezi kupona kitakufa tu na Yericko Nyerere na hako ka joka ka kibisa Ben wa saanane ndo misukule ya kwanza ya CHAGADEMA na wanasahau kuwa whats goes around comes around

Sure Mkuu. Hiki chama kikifa nitawahurumia sana akina Yeriko Nyerere na Ben Saanane
 
nilishasema awali kuwa MISUKULE haitaelewa hoja na itaendelea kupinga tu huku ikijua ukweli uko wapi...makene unajidharilisha kwa kuendelea kukaa kwenye chama cha familia na kutumika vibaya KUSEMA CHEUPE WAKATI NI CHEUSI NA CHEUSI WAKATI NI CHEUPE.....R.I.P CHAGADEMA

Mtatunga kila aina ya mifano mwaka huu.
 
hhahahah..MARKO 10:25 "ni rahisi kwa ngamia kupenya katika tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa MUNGU" sehemu ya kuanzia tajiri weka chadema na sema "kuliko chadema kuingia ikulu 2015"...MISUKULE inajiaminisha ati itashinda uchaguzi 2015 NASEMA IVI LABDA CDM WASHINDE NJAA SIO UCHAGUZI

Inahitaji uwe MSUKULE kweli kweli kuamini eti CHADEMA watashinda Uchaguzi 2015.Wakati akina Kinana wako busy kuimarisha mitandao hai ya Chama chao katika ngazi za chini kabisa,Kwa mfano hivi sasa wameanzisha VICOBA lengo likiwa kukamata kada zote za Watanzania wawe wapiga kura wao.Tujiulize CHADEMA ya Mbowe wanafanya nini kuimarisha mitandao yao ya Wapiga kura zaidi ya Makao Makuu kuzitafuna fedha huko bila ya kuwakumbuka wale wa chini.Uongozi huu una madhaifu mengi mno.Kwanza Uongozi wake hauna uwakilishi mzuri wa Watanzania wa kutoka makundi yote ya kijamii.Uongozi wa Kitaifa unaundwa kwa asilimia kubwa na watu wa dini moja na wa kanda moja.Hii ni kasoro kubwa itakayoinyima Chadema ushindi 2015 na ni kasoro ambayo Uongozi wa Mbowe umeonekana kupuuzia na hawataki kabisa kulifanyia kazi labda Mbowe hataki Chadema iingie Ikulu.
 
KWA kuwa wewe ni msukule huwezi kuelewa wala kuona mantiki na points za hiyo hoja apo juu...may be ushakula viroba na bangi maana ndo zenu nyie

What's your point? Kwahiyo zzk abaki chadema hata kama Ñî msaliti, mhujumu na mamluk ili kukwepa ya Sudan ya kusini?

Wangapi wamefukuzwa/ kuvuliwa uanachama kwenye vyama vyao bila kutokea ya sudani ya kusini. WAPO akina mansoor himid, Maalim serif na engine wengi.
 
hahahah..lazima atakuja tu kukanusha na kumsafisha mwananume mwenzake sijui huwa anafanywa nini jamani huyu mbowe maana mbowe asiguswe kidogo tu TUMAINI MAKENE kesha kuja kumkingia kifua huku kashupaza mishipa ta shingo...UTUMWA WA FIKRA NI MBAYA SANA KULIKO UTUMWA WA ENZI ZA BIASHARA YA UTUMWA...

Jamaa hakawii kuja na press release ya kumsafisha huyu Mbowe mmwagaji damu kwa jina la Demokrasia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom