Ukishangaa ya Mussa

umemuonea mwalimu wetu,,hajaleta yanayo msibu kazin,,ila kaleta yanayo msibu huku mtaani na sie tuliopevushwa na wao ila saiv tunawananga๐Ÿ˜Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…kwahiyo anachotaka ni kusifiwa na kushukuriwa? Kwani huko kutupevusha na kutufundisha wanafanya bure? Au wanalipwa?
 
, sasa ticha si umetuletea mwenyewe yanayokusibu huko kazini?
Halafu Kikwete alivyo mtoto wa mjini alivyopata Urais tu waziri wa elimu akamteuwa mwalimu mwenzao Magreth Sitta alifanya nini?

Waulize kitega uchumi cha mwalimu house pale pesa zinakwenda wapi? Na bank ya walimu faida zinakwenda wapi? Na kwa nini viongozi wa CWT wajilipe mishahara na posho kubwa kuwazidi maradufu wanaowaongoza ambao ni walimu?

Akikujibu maswali haya mpelekee mwanao amfundishe ujuwe huyo ni mwalimu kweli.
 
Sasa serikali ikuumize wewe uumize mwalimu...eti mnatumika na serikali....hii ajabu kweli...Boss anakulipa mshahara akuagize Kaz umgomee!?...sekta binafsi mwafanyishwa kazi mpaka nightkali lakini hamjawahi mgomea boss...Leo mwalimu mwalimu mwalimu..jaman
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…kwahiyo anachotaka ni kusifiwa na kushukuriwa? Kwani huko kutupevusha na kutufundisha wanafanya bure? Au wanalipwa?
Oooh jaman mbona una hasira na mwalimu wetu humu jf leo๐Ÿคฃau kuna ticha keshawahi kubutua bila kosa enzi zako

sio kushukuriwa,,ni kama tunawadharau , kwaio anataka tuache eti
 
Hawezi kuyajibu ataishia kuniambia nisihangaike na yasiyonihusu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…mara najiinua, anataka nijilaze labda
 
Yupo sahihi,lakini kwanini asimwache huyo mwalimu ambaye kwake baada ya kumfundisha aeiou kageuka kilaza....si lazima umdharau mtu hata Kama wewe ni mbora mkuu
Walimu wa Tanzania hususan wa shule za serikali mna kalba zifuatazo;
1)Mna inferiority complex kubwa sana hiyo ndio imezalisha nidhamu ya uoga kiasi cha kunyenyekea hadi wasiopaswa kunyenyekewa,japo haistahili mtu kunyenyekewa.
2)Mna play victim too much,kiasi mnajidogosha kuonekana wenye shida ni ninyi na mnaoonewa sana kuliko wote ni ninyi.
3)Mambo mengi yanapozungumzwa kuhusu ninyi mnayachukulia kwa mawazo Hasi/negativity,mfano mkubwa ni wewe hapo madam.
Hizi kalba tatu zimewaletea tabu kiasi mmekua watu wa kuburuzwa sana aisee katika maisha in all aspects.
Angalau wenzenu wa English medium wamejitutumua kiasi chake.
Sasa hizo kalba za hapo juu ndizo zikazalisha mambo ambayo madam Kapeace ameyaelezea.
Pia ninyi ndio mfano kwa jamii nzima,ila imekua tofauti ninyi mkajisahau badala ya kuwa viongozi wa mfano mkawa nyumbu fuata mkumbo.
Ninyi ni sawa na viongozi wasioweza kujiongoza.
 
Yote nimekuelewa mkuu,lakini bado mwapeleka watoto kwa hao wasioweza jiongoza,je hamuoni kwamba nyie ndo wapumbavu?
 
Kumbe wajua kwamba twalipwa,haya hiyo kupelekeshwa Mara kutumika imetoka wapi? Ushauri serikali watumie sekta ingine bas
Ndo mtulizane mnafanya kazi mliyoomba kwa utashi wenu na mnalipwa, mwajiri wenu ambayo ni serikali ndo ina jukumu na nyie, pelekeni malamiko yenu huko
 
We mdada una kauli nyoofu duh!!
Aagh๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ