Unalalama mnadharaulika ndo tunakupa sababu inayopelekea kudharaulika kwwnye jamii, usitafute chaka la kuzidiwa mara mmetufundisha inakuwa kama mama anaedaiwa na mwanae akianza kuleta visababu vya unajua nimekuzaa niliteseka sana, hizo ni bla bla blaaa blaaaNimeileta ili mstaarabike nyie mjionao mmekamilika.Maisha ya watu mliowazidi akili yaacheni kipenzi
😅😅hawajui walitendaloEti twatumika na CCM wao wanatumika na nani humo makazini wananifanya kazi
Kama mngekua mnajitambua mngejiuliza nyie wenyewe kwa nini mna dharaulika na wanao wadharau ni wale mnao wafundisha, itumieni Elimu kukomboa hizo akili zenu zilizoko kifungoni bila kujitambua Kila kizazi kitaendelea kuwadharau na kuwaona ni watu wa hovyo tuuWewe umetutumia umetupa Nini,Kama wanatutumia na hawatupi kitu kwako wapunguka Nini....mwanao anashindwa kujua kusoma na kuandika? Halafu Kama siye mwatuona hatuna akili kwanini mwatuamini na kutuletea watoto wenu tuwafundishe? Hamuogopi tutawaharibu akili? ....Mwanadamu bhana🙌
Mada mnaziletaga wenyewe mkiambiwa ukweli mnageuka mayatima wa kujiliza liza?Uhalisia unaowaharibia future zenu au unawaua....usishughulike na kisichokuua cute
Hata mama ana sababu ya kulalamika Kama kweli wayajua malezi ya mtoto yalivyo ya shida.Mtu anaekusaidia afu hakudhuru usimrudishie dharau...mwache hivyohivyo na shida zake...kidogo anachopata ndiyo familia yake yakitegemea....Unalalama mnadharaulika ndo tunakupa sababu inayopelekea kudharaulika kwwnye jamii, usitafute chaka la kuzidiwa mara mmetufundisha inakuwa kama mama anaedaiwa na mwanae akianza kuleta visababu vya unajua nimekuzaa niliteseka sana, hizo ni bla bla blaaa blaaa
Hapo sawa shughulikeni na mwenendo wenu ndipo sasa mje muilaumu jamii kwa kuwafanyia ndivyo sivyo tofauti na hapo jamii itaendelea kuwapuuzaNashukuru nimeileta maana coine imegeuzwa...Nimejua pande zote
Hapa sasa umerudi kwenye mstari ulishaanza mashambulizi binafsiSiyo yatima twajibizana,waniambia nakuambia....ukiona upo sahihi unasimamia msimamo wako
, sasa ticha si umetuletea mwenyewe yanayokusibu huko kazini?Hata mama ana sababu ya kulalamika Kama kweli wayajua malezi ya mtoto yalivyo ya shida.Mtu anaekusaidia afu hakudhuru usimrudishie dharau...mwache hivyohivyo na shida zake...kidogo anachopata ndiyo familia yake yakitegemea....
Siyo na ccm, labda tupate serikali nyingine lakini siyo hawa manyang'au nasikia yamejiongezea yenyewe mshahara kwa 100%Walimu ni watu muhimu sana, ipo siku mtakumbukwa tu.
Ndio maana tunapeleka watoto wetu private school, mwalimu asiyejuwa hata kuongea kingereza atawaambukiza ujinga tu watoto wangu.Endeleeni kutupuuza na hao wapuuzi MUENDELEE kuwaletea watoto wawaondolee ujinga👊
Oke oke,haya nyie sekta zingine ni mageuzi gani mmefanya? Yapi ambayo mwalimu anapelekeshwa Kama kondoo nyie mmeikomboa nchi? Kama hamuitaki CCM msitegemee walimu wakatae kupewa Kaz na serikali ambayo ndiyo inalipa mishahara ya watumishi wote huku nyie mmekaa tu....Nanyi ni wananchi,Kama mwaumia wajibikeni msikike....walimu walimu....kwanini msistop kuleta wanenu tusije tukawajaza ujinga!?Mnafanya kazi nzuri shida yenu kubwa ni kupelekeshwa kama kondoo anaeswagwa kwenda machungani yaani nyie ni "NDIO MZEE". siku niliposhuhudia mkurugenzi akiwatoa hofu viongozi kuhusu kujaza watu ukumbi fulani alipokuja kiongozi fulani kwamba watatumika walimu na ni kweli simu ilipigwa hapohapo agizo likatolewa siku fulani walimu wote wa halmashauri wawepo ukumbi fulani, waambie kutakua na chai na nauli. Aisee nilichoka siku ile na kweli siku husika ilipofika ukumbi ulifurika walimu mpaka haukutosha, since then walimu huwa naona ni watu wasiojielewa though ni kweli wanafanya kazi nzuri ya kututoa ujinga.
🤣🤣🤣🤣tutawaleta si ndo kazi yenuEndeleeni kutupuuza na hao wapuuzi MUENDELEE kuwaletea watoto wawaondolee ujinga👊