Ukishangaa ya Mussa

kama hayatuhusu mada umeleta ya nini? Si ungetulizana ujilie mshahara wako, umeona sasa akili zenu zinavyofanya kazi km watoto wewe mwenyewe ukiwa mfano, yani mada umeileta kwa mayowe mengi ili muonewe huruma, nakupa uhalisia wa tabia zenu umeshageuka mtabiri nani kakwambia siishi vizuri na watu?

Msijibanze kwenye kutufundisha ili kuficha uhalisia wenu,
 
Wewe umetutumia umetupa Nini,Kama wanatutumia na hawatupi kitu kwako wapunguka Nini....mwanao anashindwa kujua kusoma na kuandika? Halafu Kama siye mwatuona hatuna akili kwanini mwatuamini na kutuletea watoto wenu tuwafundishe? Hamuogopi tutawaharibu akili? ....Mwanadamu bhana🙌
 
Nimeileta ili mstaarabike nyie mjionao mmekamilika.Maisha ya watu mliowazidi akili yaacheni kipenzi
 
Kabisa kabisa, wanalalamika hawaheshimiki wakati wao wanatengeneza mazingira ya kudharauliwa,
 
Muache kidogo dada yetu kaumia 🤣🤣🤣🤣sasa ww ndo unaongeza maumivu tuwaonee huruma walim wetu.
 
Walimu ni watu muhimu sana, ipo siku mtakumbukwa tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…