Ukishangaa ya Mussa

Nimesikitika sana. Nachukizwa na watu wanaowaandama waalimu
 
Alafu wakati mnapiga mkwara yule mwenye kitambi ndo aongee alafu mwenye mwili mdogo ajidai anaandika andika, wawili wanaobaki mmoja anakua anamsikiliza mkuu wa shule kwa makini alafu yule wa nne anachomekea swali moja moja
Au ufike na manyota nyota πŸ˜…πŸ˜…mtaambiwa yote km kuna tukio watageukana ili waonekane wema, sasa uje uwasifie mama weee hata mke anakuachia, akili za kitoto kabisa, wale waliochapwaga hivi si ni walimu? Mtumishi gani wa serikali utamlaza chini umchape??? Tofauti na mwalimu????
 
WaChaTUONEEkitaKChoTOkea???????
 
Nani tena kakukera future date wangu.
 
Ndiooooo
 
Aaaaghhh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚.
Imenijia kauli ya mwalimu ni mwanafunzi aliyefeli.
 
Kujisimamia? Yaan unamaanisha mwatulelea mpaka wanetu? Mwatusomeshea wanetu? Acheni dharau kwa mtu msiyemsaada nae...tunashindwa nyie mwaweza basi tuacheni....mnacho siye hatuna basi tuacheni....twatumika nyie hamtumike basi tuacheni....why mshughulike na watu wanaowawezesha mjue kitu then wanaendelea na wengine pasipo kuwaumizeni Wala kuwanyang'anya.... Kapeace ishi vizuri na walimwengu Wala hutopungukiwa kitu,kumdharau mtu mwingine Wala hakutokupa ufahari kipenziπŸ‘Š
 
Lakini ndiye aliyekufundisha wewe pamoja na kufeli kwake,
 
Mimi niliwahi kuwa mwalimu.
Ila dada Kapeace yuko sahihi.
Nitarudi kukueleza kwanini yuko sahihi.
Yupo sahihi,lakini kwanini asimwache huyo mwalimu ambaye kwake baada ya kumfundisha aeiou kageuka kilaza....si lazima umdharau mtu hata Kama wewe ni mbora mkuu
 
Ualimu ni wito, unalipwa mshahara wako, tosheka nao, ulishafanya kazi, ukalipwa na mtoto kawa na hela zake
MBUZI HULA KWA UREFU WA KAMBA YAKE
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…