Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 16,835
- 62,176
Jamaa amezingua sanaMaelezo mareefu! Pointi hakuna. Zaidi ni vijembe tu.
Makao Makuu - Capital City kuhamia Dodoma. Tambua hili, Kuna dhamira na kuna Utekelezaji..Umefuatilia hoja yako ilipoanzia??
Kuhamia Dodoma ndiyo ilikuwa hoja yenyewe. Mimi nimekwambia kuhamia Dodoma kumeanza tangu enzi za Mwalimu na ndiyo maana akaanzisha Ikulu ya Chamwino. Magufuli alifanya tu mwendelezo kama anavyofanya Samia kwa sasa.
Kwani unadhani Capital Development Authority (CDA) ilianzishwa ili ifanye nini kama siyo kuendeleza Makao Makuu ya nchi?
Unadhani ni kwa nini Makao Makuu ya CCM enzi za chama kimoja yalijengwa Dodoma? Hivi bunge kuhamia Dodoma unadhani ni kwa bahati mbaya??
Nasema hivi nyie ni waumini wa Wachungaji hamuwezi kufikiri kwa vichwa vyenu wenyewe. Mnatumia sqna IMANI ya kuambiwa badala ya kutumia AKILI zenu.Nadhani Allen na Jokakuu mnamuweza Mkandara, ngoja niwaachieni mmalizane naye.
Lakini Kiufupi Magufuli hakuwa mtu safi tangu akiwa waziri.
Alivuruga mchakato wa uuzaji wa nyumba za serikali .
Alipokuwa waziri alituingiza ktk hasara nyingi kwa kuingilia kandarasi ambapo tulishitakiwa na kulipa hela nyingi.
Alipokuwa rais alikuwa hafuati sheria za manunuzi ndiyo maana CAG kaibua madudu kibao kwenye SGR na miradi mingine.
Alikuwa haheshimu katiba, hata alipomuondoa CAG ilikuwa ni kinyume cha sheria.
Magufuli hakuipa uhai CCM, bali alizuia vyama vingine visifanye siasa kabisa na kunadi sera na itikadi zao kupitia mikutano ya hadhara. Hata ile ya ndani sometimes ilivamiwa na polisi na kuzuiliwa.
Sasa kunzisha CDA na kuhamishia bunge dodoma, kujenga Ikulu ya Chamwino, kujenga Makao Makuu ya CCM (Enzi za Chama Kimoja) siyo utekelezaji huo??Makao Makuu - Capital City kuhamia Dodoma. Tambua hili, Kuna dhamira na kuna Utekelezaji..
Hii siyo kweli. Nyumba ziliuzwa kwa amri ya Rais Benjamin Mkapa na mtekelezaji wake akawa Magufuli. Bunge alikuhusika kuuza hizo nyumba za serikali!!Uuzaji wa nyumba Serikali ulipitishwa na Bunge.
Daaah inabidi nikuache maana hata huelewi kitu. Ujenzi wa Ikulu haufanyi kuwa Capital City, tumehamisha makao Makuu toka Dar kwenda Dodoma wakati wa Magufuli na kama huamini hili, mimi siwezi kukusaidia. Endelea kwenda kanisa lako!Sasa kunzisha CDA na kuhamishia bunge dodoma, kujenga Ikulu ya Chamwino, kujenga Makao Makuu ya CCM (Enzi za Chama Kimoja) siyo utekelezaji huo??
Au hujui kwamba kuna mambo kadhaa yalishafanywa na waliomtangulia Magufuli? Tofauti yake na watangulizi wake, ni kwamba wengine walikuwa na vipaumbele vingine walivyoona kuwa ni muhimu zaidi kuliko kutumia hela nyingi kwa mkupuo kuhamishia Makao Makuu Dodo
Umemueleza vizuri.Hii siyo kweli. Nyumba ziliuzwa kwa amri ya Rais Benjamin Mkapa na mtekelezaji wake akawa Magufuli. Bunge alikuhusika kuuza hizo nyumba za serikali!!
Pole sana, endelea kuishi kwa dhana potovu, ndio maana CCM itaendelea kutawala miaka 100 ijayo. Sisi wahenga hapa JF tulisha jadili hilo miaka ileee Ufisadi wa Nyumba za SerikaliHii siyo kweli. Nyumba ziliuzwa kwa amri ya Rais Benjamin Mkapa na mtekelezaji wake akawa Magufuli. Bunge alikuhusika kuuza hizo nyumba za serikali!!
Huu ndiyo ukweli. Hata wakitawala miaka 500 ijayo, hiyo haibadilishi ukweli kwamba uuzaji wa Nyumba za serikali maamuzi yake hayatokani na Bunge.Pole sana, endelea kuishi kwa dhana potovu, ndio maana CCM itaendelea kutawala miaka 100 ijayo..
Ishu ya Kuhamia Dodoma ilifanywa incrementally. Kila awamu ilichangia.Daaah inabidi nikuache maana hata huelewi kitu. Ujenzi wa Ikulu haufanyi kuwa Capital City, tumehamisha makao Makuu toka Dar kwenda Dodoma wakati wa Magufuli na kama huamini hili, mimi siwezi kukusaidia. Endelea kwenda kanisa lako!
.
Kwa ivo Magufuli ilikuwaje akafia Magogoni!!??Daaah inabidi nikuache maana hata huelewi kitu. Ujenzi wa Ikulu haufanyi kuwa Capital City, tumehamisha makao Makuu toka Dar kwenda Dodoma wakati wa Magufuli na kama huamini hili, mimi siwezi kukusaidia. Endelea kwenda kanisa lako!
.
Bunge gani wewe lilopitisha suala la uuzaji wa nyumba?Pole sana, endelea kuishi kwa dhana potovu, ndio maana CCM itaendelea kutawala miaka 100 ijayo. Sisi wahenga hapa JF tulisha jadili hilo miaka ileee Ufisadi wa Nyumba za Serikali
Hahahaha haki ya nani? Mji unaweza.kuwa na IKULU lakininsio Makao Makuu, nimekupa.mfano Dar es Salaam sasa hivi. Bado huelewi kitu gani?Kwa ivo Magufuli ilikuwaje akafia Magogoni!!??
Magufuli aliendeleza mpango wa kuhamishia Makao Makuu Dodoma kama wenzake waliomtangulia walivyofanya.
Sasa kunawezekanaje kukawa na Makao Makuu ya nchi bila ya kuwepo kwa Ikulu!?
Hizo za yeye kupewa sumu ni porojo tu, hakuna ushahidi wowote wa hilo.Magufuli hakuwa mtu wa kuingilia mambo ya watu au taasisi. Mzee Mang'ula yule pale alipewa sumu ulimuona kamkamata mtu? Yeye mwenyewe alipewa sumu kabaki analalamika! Kama kweli angekuwa mbaya hivyo, alipokuwa rais mtu wa kwanza kumfanyia ni yule alotaka kumtoa uhai wake lakini hakufanya. Mnashindwa hata kufikiri jamani.
Sema hivi Tanzania inaongozwa kwa imani ya kusadikika. Yaani vitu vya kusadikika kama Mandoga ndiye bingwa wa ngumi wakati kisha pigwa mara mbili hapa hapa nchini. Ndiye anawakilisha Taifa. Sijui UCHAWA yaani miujiza wa Wachungaji ndio inafanya kazi. Hakuna mtu anayekaa akafikiri kwa akili yake ila ya kushikiwa..
Ikulu kubwa ya Dar inatokana na Legacy yake kuwa ilikuwa ni makao makuu ya nchi ksbla hayajahsmishiwa Dodoma. Achana na Ikulu ndogo zile za mikoani.Hahahaha haki ya nani? Mji unaweza.kuwa na IKULU lakininsio Makao Makuu, nimekupa.mfano Dar es Salaam sasa hivi. Bado huelewi kitu gani?
Jakakuu mkuu wangu please... Sasa kama Membe alifukuzwa, yeye aliwezaje kuzungumza na Mzee Makamba, January na Nape juu ya hatma ya Magu!
Kigumu kipi hapa nyie watu kuelewa? Haya wote walokuwa Kamati ile wametumbuliwa washtakiwa wanaji mwambafai mabega juu..
Sasa Dar imekuwa na IKULU Kihistoria. Lakini kwa Chamwino ilijengwa kimkakati kama mwanzo wa kuhamia Dodoma. Halafu Ikulu ni Makazi ya Kiongozi wa nchi na mpaka sasa hakuna sheria iliyoifuta Ikulu ya Magogoni.Hahahaha haki ya nani? Mji unaweza.kuwa na IKULU lakininsio Makao Makuu, nimekupa.mfano Dar es Salaam sasa hivi. Bado huelewi kitu gani?
Ndivyo.mlivyo.aminishwa na kanisa la Mchungaji wenu. Kwa sababu nikupe mfano mmoja mdogo kabisa lakini unafikirisha...Tulipopishana na pale uliposema Magufuli hakuwashughulikia waliompa sumu Mangula kwasababu hakupenda kuingilia mambo binafsi.
..Sasa najiuliza mtu anayejaribu kumuua Makamu Mwenyekiti wa Ccm, baadae hatajaribu kumuua Waziri Mkuu, Katibu Mkuu Ccm, Spika, au hata Mwenyekiti wa Chama na Raisi?
..Magufuli alikuwa micro manager na mtu wa kuchukua hatua za haraka. Hakuwa na uvumilivu wa jambo lolote ambalo hakupendezwa nalo, au hakulitaka.
..Sasa kwa kuelewa tabia na historia ya Magufuli, unaamini anaweza kuacha suala la kulishwa sumu kwa Makamu wa Cc lipite hivihivi?
..Mimi conclusion yangu ni ama Mangula hakulishwa sumu, au tukio hilo lilikuwa na baraka za Bwana Mkubwa.
kama sio Magufuli kujitoa mhanga kwa chama hiki kuchukua Uongozi kuogmbea Urais mwaka 2015, hiki chama kilikuwa kimekufa kabisa!