wakuu naomba kuwakilisha katika pitapita zangu,nimekutana na hii news...MWANAUME ALIEKUWA AKITUMIA ARV AOTA MATITI.,nikaafikiri ni ARV original au ndo jamaa alibungiaa za wife,za kutengeneza chakulaa cha mtoto aka manyonyo akizani ARV ndo yaka mkutaa hayaa.