Ukishalewa unapenda kufanya nini?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,992
17,892
Ukiwa umeshalewa unapenda starehe au ukishalewa nini huwa unafanya?
Mimi nikishalewa huna nacheka hovyo tu nakupiga piga simu na kugawa hela hovyo

Kingine ninachopendaga nikishalewa huwa nafurahia lile tendo takatifu mimi na baby mama wangu taratibu bila fujo
 
mimi huwa nawaza kuroga tuu

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom