Ukisha likoroga inakuwa hivi

Ukisha likoroga inakuwa hivi

mimi kupima mpaka wanifunge pigu tena wakiwa wananifunga wasiniambie kama wanaenda kunipima HIV ila wakifanya kosa la kuniambia eti tunakufunga pigu ili tukakupime maana tunasikia wewe ni mbishi sana hahhahahahhahaha haki ya mama hawatakua wanasikia tena ila wataona nilivyo mbishi nitawasubua sana mpaka watakubali tu kuwa sina HIV maana sio kwa nguvu hizo nitakazo onyesha......
Ule ni umeme, ukikugusa nguvu za ubishi kwisheney
 
Huu uzi umenifanya leo niote ndoto mbaya sana
 
Kisa cha kutotaka kupima tena? Nauliza tu.
Wewe mbona yako unayaficha ficha mapafuni, huwekagi wazi kabisaaaa unataka kujua ya weenzio tu,
Shutuuuu babu
 
Aiseee yaani week 2 zilizopita nimetoka kupima na Jana nimepiga mechi kavukavu na mdada mrembo balaa japo aligoma kwenda kupima .... Sasa siku yangu ya Leo nina presha balaaa
Ohoooo tamaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom