Ni sehemu ya maisha mkuu😂 cha muhimu iwe -ve
Ukiambiwa -ve ni kama umepewa ufunguo wa peponiIla kupima bwana basi tuu yani. Hata kama unajiamini hujaruka ruka ila ukiwaza mwenzio unaeruka nae lazima presha ipande
Sent using Jamii Forums mobile app
dah, ishawahi nitokea hatari
Ni sehemu ya maisha, wanaopita salama ni bahati zao nzuri.
Ntapima dawa ikipatikanaWabaya ni wale wasiopima kama wana ngwengwe wazidi kuisamabaza lakini ukipima na kujua hali yako haina shida.
Ila kupima bwana basi tuu yani. Hata kama unajiamini hujaruka ruka ila ukiwaza mwenzio unaeruka nae lazima presha ipande
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa napiga jd mpaka nikataka niwe kichaa for consecutive 3 months!!!!!!mwisho nikakubali liwalo na liwe nikatesti,dah sitasahauNi sehemu ya maisha, wanaopita salama ni bahati zao nzuri.
Mie nishapima mara 4...ss hv sitak kwakwel..ah
Wabaya ni wale wasiopima kama wana ngwengwe wazidi kuisamabaza lakini ukipima na kujua hali yako haina shida.
Aiseee yaani week 2 zilizopita nimetoka kupima na Jana nimepiga mechi kavukavu na mdada mrembo balaa japo aligoma kwenda kupima .... Sasa siku yangu ya Leo nina presha balaaa