Ukisema Jini tayari kuna majini miatatu karibu yako. Kila mtoto mchanga huguswa na jini dakika moja bada ya kuzaliwa. Vitabu vya dini vinasemaje?

Kwa imani hizi za kipuuuzi miafrika kuendelea bado sana
 
Basi tumwite Ibilisi.
Ni kiumbe cha Mungu
Sasa huyo Ibilisi wengine husema asili yake ni malaika na wengine asili yake ni jini,vyovyote iwavyo ila nijuavyo Ibilisi anakuja kuitwa shetani baada ya kuasi.

Yani baada ya kufanya uovu ndipo akaitwa hivyo,sasa labda tuulizane hilo neno shetani lina maana gani.
 
Nadhani ni sifa tu ya kiumbe kiovu. Sina uhakika sana.
 
Mim nilkuwa msomaji tu tangu kuanzia page 1 mpaka 9page sina cha kuuliza nasubir somo liendelee ili nihitimishe kisomo
 
Km mtu mmoja anazungukwa na majini 300, kwa hesabu za haraka haraka Majini 300 X watanzania 55M = majini 16,500,000,000 yapo Tz
 
Kuamini majini ni upumbavu... naskia ukitaka kua shekhe unapewa majini kadhaaa ni kweli?
 
Nasema kitu nilicho hadithiwa na watu wa msikiti fulani kua kuna mtu alikufa coz alikua kashapewa hao viumbe ili awe shehe akazingua. The end aka die
Kumbe umehadithiwa na kusikia tu mzee. Nikajua umehadithiwa kisha ukathibitisha hizi.

Ila kaka umepewa akili hata kuitumia huwezi hili ni tatizo kuliko tatizo la wewe kupokea habari bila kuzifanyia uchunguzi.
 
Nadhani ni sifa tu ya kiumbe kiovu. Sina uhakika sana.
Sawa mpaka hapo tunaona hakuna kiumbe kilichoumbwa na asili ya uovu ambacho ni shetani,hivyo hata binaadamu akifanya maovu nae atakuwa na hiyo sifa kama ilivyomtokea Ibilisi.

Kwahiyo tukisema jini na shetani ni kitu kimoja basi pia tumuongeze na binaadamu maana nae hufanya maovu.
 
Inawezekana
 
Umenena vyema Chief
 
Back
Top Bottom