Ukipost uzi usijione umekosea

Ukipost uzi usijione umekosea

Ushimen

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
44,053
Reaction score
110,652
Enzi zetu tulikuwa tunakosea zaidi yenu.

Enzi zetu teknolojia haikua njema kama leo.

Enzi zetu tulijiachia kwa mengi zaidi ya leo.

Inawezekana miaka yetu tulikosea pakubwa zaidi ya makosa yenu leo.

Na zamani tulikuwa na ukaribu zaidi hapa jamvini lakini tulitunza siri zetu...-😊
 
Hehe kwa sasa hakuna siri,,,,,kila kitu wazi hata huko kwa wakina pm na isitoshe hapo tu watakupekua hadi wasapu.......
 
Back
Top Bottom