Ukipewa nafasi ya kuwa rais

Ukipewa nafasi ya kuwa rais

KOKUTONA

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2011
Posts
8,651
Reaction score
6,109
[h=5]If you were given the opportunity to be a president of a nation!!!
Which country would you pick?
[/h]
 
Yakwanza kabisa kuichagua itakua SOMALIA.
Hamtasikia tena vita wala ng'engeng'e nyingi.
 
Mwali Congo DRC? Why?
Mhe Salim Ahmed Salim aliwahi kusema kua
1. A free South Africa
2. A Strong Congo (DRC)
3. A prosperous Nigeria
ndio funguo ya Afrika maana kila moja ina role kubwa sana ilipo (moja kusini, moja kati na moja kaskazini). Kwa sasa SA imeshakua free, na Nigeria inaendelea vizuri (expected kua 5th global economy by 2030, in this lifetime). Imebaki Congo tu kua stable. Na naamini COngo ikiwa stable Tanzania itafaidi sana maana TZ is the eastern gate of central africa and we share our longest border with Congo (on Lake Tanganyika). It is strategic for Africa.
 
Dah...great thinking...LIKE LIKE LIKE
 
nchi??? ningechagua ya kilimanjaro
sitaki maswali tafadhali sana.
 
Tanzania nikimaliza uraisi lazima niwe na visima vya mafuta na gas mtwara, migodi ya almasi misungwi, tanzanite meredani na dhahabu

Nimiliki robo ya kigamboni na nusu ya mbuga ya serengeti
 
swaziland
ntakua navaa kiasili tu haina jotro
ufalme wangu wa milele
kila mwaka nachagua wife mpya tu

Hili la mwisho nililo bold, kuongoza ni kuonyesha so as a president huon km ungechange the waves of msuwati na kuwa na mmoja tu the queen?
 
Tanzania nikimaliza uraisi lazima niwe na visima vya mafuta na gas mtwara, migodi ya almasi misungwi, tanzanite meredani na dhahabu

Nimiliki robo ya kigamboni na nusu ya mbuga ya serengeti

Utafilisi nchi BADILI TABIA.
 
Back
Top Bottom