Ukipewa nafasi ya kuwa rais

Ukipewa nafasi ya kuwa rais

Mimi ningechagua kuwa president wa TANZANIA simply is easy to control, as you can just give order while on plane going accross the globe, nauza kila kinachouzika na ikibidi hata wadanganyika then after nasafiri kwenda kuishi zangu Norway! Kudaddeki.
 
Wewe utatufilisia nchi yetu loh
 
Kwa nn Tanzania Erickb52?
Yan nina hamu ya kushika nchi hii hata kwa siku moja tu KOKUTONA yan nitawanyooshaje vilaza.
Unadhani ujinga wanaoufanya hauishi? Akiatikana jamaa mmoja akawanyoosha utashangaa nchi ndani ya miaka michache iko vizuri sana
 
Last edited by a moderator:
Hili la mwisho nililo bold, kuongoza ni kuonyesha so as a president huon km ungechange the waves of msuwati na kuwa na mmoja tu the queen?

mila lazima zifuatwe,sion sababu ya kubadili,
hii ndio inaleta umoja katika jamii.
kila familia inakua sehemu ya ufalme
mke wangu wa kwanza atabaki kua first lady
 
We.. mtindo wa kuifananisha TZ ya leo na ya mwaka 47 kweusi... hii ni digitali bhana
 
Nikiwa rais jf naipa hadhi ya kuwa wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa. Waziri wake atakuwa ni Paw
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom