Ukipewa chance uende Mbinguni na kitu kimoja utabeba nini?

Ukipewa chance uende Mbinguni na kitu kimoja utabeba nini?

mimi wenye mbingu yao wanikutanishe tu na mama yangu, hata nimjue alikuwa na sura na umbo la namna gani. siwezi kuwa na amani na furaha ikiwa mama yangu nachofahamu kwake ni jina na kaburi tu.

pia wenye mbingu wanikutanishe na bibi na baba yangu niseme kwao asante , walao wao liliwajua ila walitangulia mapema kabla ya mimi kujua kushukuru.
 
Back
Top Bottom