The End..
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 4,362
- 3,846
hapana... nikishakuwa sawa hapo ndo nitakapomfanya rafik wa kawaida kama wengine forever... yaan ni salam na mambo mengine... siwez kurudiana nae tena!!!So ukishakuwa sawa unaanza tena kurudisha majeshi ?
kipindi sipo sawa ilikuwa rahisi kurudiana nae... ila nikishakuwa sawa.. bye bye hiyo...!!!