Kweli kabisa mr.mentor,waweza pia ku-backdate hata kwa mobile phone yako.Hii technic ni pale umekosa vifaa kama kalenda ya zamani,simu au kompyuta.Duh, ama unaeza kwenda kwenye computer yako uka-backdate tarehe mpaka upate siku uliyozaliwa!???lol
Duh!ni kweli mkuu,thanks kwa kuni-alert!Japokuwa kuna softcated ways za kujua hiyo siku kwa urahisi sana kama baadhi ya wadau walivyochangia ila hii ni moja ya changamoto za kubrain storm.Inawezekana formula yako inafanya kazi kwa tarehe nyingi ila si ZOTE.Kwa mfano mtu aliyezaliwa tarehe 25 February 2000Step 1 25/Feb/2000Step 2 Namba ya mwezi ni Feb = 3Step 3 Tarehe ya kzaliwa = 25Step 4 Namba mbili za mwisho = 00 gawa kwa 4 = 0Step 5 Jumlisha namba hizo nne = 3+25+0+0= 28Toa jibu kwa 1 = 28-1= 27Step 6 Gawa jibu kwa 7 = 27/7= 3 baki 6Haya jibu lililobaki ni 6 means 25/February 2000 ilikuwa Saturday. Na hata usipotoa jibu la step 5 kwa 1 itakuwa 28/7= 4 baki 0 ambayo kwa formula yako ni Sunday Ambayo si kweli, hii siku ilikuwa ni FRIDAY !!!!!!!Cheerz
si kweli, haikubali kwa tarehe zote labda baadhiwatu wengi wanakumbuka walizaliwa lini,lakini ni siku ipi ya wiki?jumatatu,jumanne,jumatano?hapo sio wote wanaokumbuka!ukipenda nifuate.zingatia table hii:january=0,feb=3,mar=3,apr=6,may=1,june=4,july=6,august=2,sept=5,oct=0,nov=3,dec=5. (step1);e.g ulizaliwa 23/june/1986. (step 2);namba ya mwezi june ni 4. (step3);tarehe uliyozaliwa ni 23. (step4);chukua namba mbili za mwisho za mwaka uliozaliwa i.e 86,kisha gawanya kwa 4,chukua jibu kamili ambalo ni 21,achana na desimali au sehemu. (step5)sasa jumlisha hizo namba nne;4 23 86 21=134. (step 6)gawanya 134 kwa 7=19 baki 1.hii baki i.e 1 ndiyo inayokutajia siku ya wiki uliyozaliwa!.sunday=0,monday=1,tuesday=2,wed=3,thurs=4,frid=5,sat=6.kwa hiyo kama baki ni 1 ulizaliwa jumatatu.ooops!kwa wale waliozaliwa mwaka 2000>>,mkifika step 5,jibu mtakalopata mtatoa 1 kabla ya kwenda step 6.
Thanx,mi lyk it!Kama hiyo inagoma link hii itakupa kalenda ya mwaka mzima mwaka wowote hata mwaka 47 Create calendar for any year
hii fomula haikubali kwa aliezaliwa tar 5.2.1955Watu wengi wanakumbuka walizaliwa lini,lakini ni siku ipi ya wiki?jumatatu,jumanne,jumatano?hapo sio wote wanaokumbuka!ukipenda nifuate.zingatia table hii:january=0,feb=3,mar=3,apr=6,may=1,june=4,july=6,august=2,sept=5,oct=0,nov=3,dec=5. (STEP1);e.g ulizaliwa 23/june/1986. (STEP 2);Namba ya mwezi june ni 4. (STEP3);Tarehe uliyozaliwa ni 23. (STEP4);Chukua namba mbili za mwisho za mwaka uliozaliwa i.e 86,kisha gawanya kwa 4,chukua jibu kamili ambalo ni 21,achana na desimali au sehemu. (STEP5)Sasa jumlisha hizo namba nne;4 23 86 21=134. (STEP 6)Gawanya 134 kwa 7=19 baki 1.Hii baki i.e 1 ndiyo inayokutajia siku ya wiki uliyozaliwa!.sunday=0,monday=1,Tuesday=2,wed=3,thurs=4,frid=5,sat=6.Kwa hiyo kama baki ni 1 ulizaliwa JUMATATU.Ooops!kwa wale waliozaliwa mwaka 2000>>,mkifika STEP 5,jibu mtakalopata mtatoa 1 kabla ya kwenda STEP 6.