Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 30,010
Hiv huyu mtoa mada katuona sie mapoyoyo enhee my name is my name
unachezwa kwnye scenes zip? elezea 3 ukipatia nakpa 200dolar ykol'onore e il rispetto ni italian series fanya unipe dollar 200 zangu fastaaa
ina four seasons
imeanza kurushwa first season 2006
second season 2009
third season 2012
na fourth season 2015
kuna kingine unachotaka kujua?
kumbe ndo mlivofanya. aya unapatikana kwnye scenes zip. ukielezea 3 ukipatia nakupa 200Mkuu ngoja nikuelezee. Mi natumia UC Browser kubrowse JF lakini pia nina app ya Jf na huu uzi niliuweeka uzi wa kuuwatch,sasa jamaa alivyoandika na kuituma app ya JF ikaleta notification nilipoisoma kazi imeisha.
hta hawajui hii series sjui wamefanya nnn then wameenda google jna la series. sasa km unaijua kwel elezea scenes hyi nyimbo inachezwa ukipatia ndo unapataHiv huyu mtoa mada katuona sie mapoyoyo enhee my name is my name
Swal lako lilikua ni scene gan au ni series gan embu tutolee umasikin wako unazuga na kubadili gia angan umeleta swal umejibiwa so whether watu wame Google au wameona has nothing to do with swal.hta hawajui hii series sjui wamefanya nnn then wameenda google jna la series. sasa km unaijua kwel elezea scenes hyi nyimbo inachezwa ukipatia ndo unapata
Embu angalia swal lako hapo juu ndiio utoe comment yakounachezwa kwnye scenes zip? elezea 3 ukipatia nakpa 200dolar yko