mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,493
- 767
kama kwenye pay slip ya sumbawanga ilizidi laki 1 in real life ilizidi laki hata 3. Life in sumbawanga +other towns upcountry is cheap. Ukiingia hutamani kutoka.
Mimi niko uko uswekeni mnakokusema yaani marafifki zako ni RC, DC, RPC sasa kaa Dsm utaona kama waweza mingle na hao watu.
Huku uswekeni unaweza save b'se maisha ni cheap then unaenda spend Dsm wakati wa likizo.
DSM kuna joto, foleni na karaha za hapa na pale
pamoja na hayo mkuu, life in remote areas ina matatizo yake washikaji zako wanaweza kuwa wale wanywa gongo maarufu in that place, given that you'll be having money with no life challenges unaweza kuishia kubaya sana.
Mkuu please usikuite uswekeni na wa Dar - Yombo Buza, Charambe etc aiteje?
Ndiyo raha ya mkoani hiyo, mshahara ukiwa ni kuanzia laki nne tu, rafiki zako ni RC, RPC, RAS, DAS, DC, OCD. hulali njaa. Na hali ya hewa ni murua kabisa.
Habari za leo wandugu
Juzi kati apa kuna jamaa yangu alipata kazi kampuni za simu 2 tofauti. Moja ilimuajiri kwa nafasi ya hapa Dsm na nyingine ilitaka impeleke huko Sumbawanga... Tofauti ya mishahara ilikua kama laki 1 tu i mean ile ya mkoani ilizidi kwa laki 1. Jamaa akaikataa ile ya mkoani akabaki Dar, hakuwa na ishu yoyote hapa Dar ya ziada...!
Mimi nilishamshauri, wewe ungemshauri vp aende porini au abaki mjini!?
Umefika Yombo buza au huko Charambe ? au unasifu mahala kwa uzuri wa jina, like Regeant Estate,Oysterbay etc
Grow up dude...??!!
Huyo ni mwehu.............. atakufa na tai shingoni........ Fikiri hili...........Habari za leo wandugu
Juzi kati apa kuna jamaa yangu alipata kazi kampuni za simu 2 tofauti. Moja ilimuajiri kwa nafasi ya hapa Dsm na nyingine ilitaka impeleke huko Sumbawanga... Tofauti ya mishahara ilikua kama laki 1 tu i mean ile ya mkoani ilizidi kwa laki 1. Jamaa akaikataa ile ya mkoani akabaki Dar, hakuwa na ishu yoyote hapa Dar ya ziada...!
Mimi nilishamshauri, wewe ungemshauri vp aende porini au abaki mjini!?
Kwa huku Dar hakuna wanywa Gongo........??? Ndugu.....Ulaya ni popote swala ni hela.............. unaweza ukaishi polini kabisaa lakini ukawaleta FM akademia waje wapige nyumbani kwakopamoja na hayo mkuu, life in remote areas ina matatizo yake washikaji zako wanaweza kuwa wale wanywa gongo maarufu in that place, given that you'll be having money with no life challenges unaweza kuishia kubaya sana.
Vile vile wengi wa wanaomention uzuri wa DAR ni wale wanaoishi nyumba za ajabu msasani maandazi road IN THE NAME OF GHOROFA LA JIRANI........... NAWEZA NIKAISHI MANZESE NA NIKAYAFANYA MAZINGIRA YANGU YAKAWA YA DUNIA YA KWANZA..............Mimi niko uko uswekeni mnakokusema yaani marafifki zako ni RC, DC, RPC sasa kaa Dsm utaona kama waweza mingle na hao watu.
Huku uswekeni unaweza save b'se maisha ni cheap then unaenda spend Dsm wakati wa likizo.
DSM kuna joto, foleni na karaha za hapa na pale