Ukipanic ndio maisha yanakushughulikia vizuri

Ukipanic ndio maisha yanakushughulikia vizuri

Sisi wafugaji tunakula kuku pale tunapofulia yaani huna hela ya kula unawaambia ingia bandani kamata kuku maisha yaendelee
nyie wafungaji kuku mnaishi nao ndo maana sisi tunaotegemea mishahara mshahara ukiisha unafanana na kuku kuzurura sana
 
Back
Top Bottom