Vesper-valens
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 5,273
- 7,361
I second youMimi nachangia misiba tu, pia sitegemei kumchangisha mtu kwenye harusi yangu.

Unataka sherehe, uza nyumba piga party wiki nzima. Chenji nenda kapange
Umeongea vizuri sana. Big upHii tabia ya kupanga sherehe kwa kutegemea michango ya watu Ife mtakuja kununia watu bure
Mtu unapanga sendoff ya milioni kumi wakati wewe mwenyewe huna hata uwezo wa kutoa milioni mbili, unapanga ndoa ya milioni 20 wakati wewe mwenyewe hata hela ya suti unategemea uchangiwe acheni huu ujinga.
Ukipanga shughuli angalia na mfuko wako acha mambo ya kuiga iga kisa umeona rafiki zako wamefanya sherehe ya kifahari. Ishi maisha Yako na sio kuigaiga ndio maana wengi wenu hamuoi/hamuolewi.
Unakaa na binti wa watu anakuambia anataka kwenye ndoa yake apande Range Rover wakati kwao uwani wamepaki ndala mbovu zilizotoboka, Shela unataka litoke Italy, Viatu vya Uturuki, Manukato ya Dubai, Suti ya Uingereza, wakati hata passport huna, umekazana kabisa mimi bila sherehe ya bajeti ya milioni 30 siolewi nyau wewe ungekuwa na misimamo hiyo si angekukuta na bikira yako.
Acheni kuwatesa vijana kihisia mnawalazimisha wafanye vitu vilivyo nje ya uwezo wao mwisho mnajikuta mnazalishwa na kuachwa. Sio kila unachokiona kwenye vipindi vya CHEREKO CHEREKO na Ndoa Yako na wewe uviige. Chukua Bwana/Bibi Yako nenda kwa Pastor/ Shehe/ Mfungisha ndoa ukiwa na mashahidi wako na watu wachache maliza shughuli. Unaalika watu 400 umekuwa serikali wewe kwamba umeitisha bunge?
Kadi unapanga mchango laki unaijua laki ni asilimia ngapi ya mshahara wa mtu?Ukipanga jambo lako hakikisha asilimia 60 kwenda juu unaitoa kwenye mfuko wako vinginevyo utakuja kulaumu watu bure.
Nimeandika hapa kuna mtu kapanga sendoff ya milioni kumi kabakiza vikao vitano na michango mpaka sasa kapata laki nane anaishia kulaumu watu na ndugu tu
Tozo hazina exemptionTatizo tozoo...!
Well said watanzania tuache michango ya harusi jamaniniiiiiiHii tabia ya kupanga sherehe kwa kutegemea michango ya watu Ife mtakuja kununia watu bure
Mtu unapanga sendoff ya milioni kumi wakati wewe mwenyewe huna hata uwezo wa kutoa milioni mbili, unapanga ndoa ya milioni 20 wakati wewe mwenyewe hata hela ya suti unategemea uchangiwe acheni huu ujinga.
Ukipanga shughuli angalia na mfuko wako acha mambo ya kuiga iga kisa umeona rafiki zako wamefanya sherehe ya kifahari. Ishi maisha Yako na sio kuigaiga ndio maana wengi wenu hamuoi/hamuolewi.
Unakaa na binti wa watu anakuambia anataka kwenye ndoa yake apande Range Rover wakati kwao uwani wamepaki ndala mbovu zilizotoboka, Shela unataka litoke Italy, Viatu vya Uturuki, Manukato ya Dubai, Suti ya Uingereza, wakati hata passport huna, umekazana kabisa mimi bila sherehe ya bajeti ya milioni 30 siolewi nyau wewe ungekuwa na misimamo hiyo si angekukuta na bikira yako.
Acheni kuwatesa vijana kihisia mnawalazimisha wafanye vitu vilivyo nje ya uwezo wao mwisho mnajikuta mnazalishwa na kuachwa. Sio kila unachokiona kwenye vipindi vya CHEREKO CHEREKO na Ndoa Yako na wewe uviige. Chukua Bwana/Bibi Yako nenda kwa Pastor/ Shehe/ Mfungisha ndoa ukiwa na mashahidi wako na watu wachache maliza shughuli. Unaalika watu 400 umekuwa serikali wewe kwamba umeitisha bunge?
Kadi unapanga mchango laki unaijua laki ni asilimia ngapi ya mshahara wa mtu?Ukipanga jambo lako hakikisha asilimia 60 kwenda juu unaitoa kwenye mfuko wako vinginevyo utakuja kulaumu watu bure.
Nimeandika hapa kuna mtu kapanga sendoff ya milioni kumi kabakiza vikao vitano na michango mpaka sasa kapata laki nane anaishia kulaumu watu na ndugu tu
Maisha ndiyo hayahaya mkuu.I second you
Huwa najitahidi kuwa na kampani kidogo sana ili kuepusha mambo yasiyo na maana kunifuata bila utaratibu(wakati huo naamini kuna kampani yangu ya maana somewhere)Tatizo kuna Jina Moja Linaitwa KAMATI. utajua Hujui hawa watu hulazimisha Mambo sana Maana Wanapata Faida Huko
Tatizo kuna Mfumo tumeshautengeneza Ambao ni mbaya sana. Unakuta ushachangia za Wengine. Sasa Wao pia Wakisikia Unaoa. Ki-unafiki usipowaalika Watakulaumu sana. Kwahiyo kuna Mfumo mbovu tushajiwekeaHuwa najitahidi kuwa na kampani kidogo sana ili kuepusha mambo yasiyo na maana kunifuata bila utaratibu(wakati huo naamini kuna kampani yangu ya maana somewhere)
Kwani lazima sendoff na upuuzi kama huo? Mie niliwahi kushauri shemegi yangu aliyekuwa anaanza maisha tumnunulie uwanja badala ya kupoteza fedha kwenye sherehe nikachekwa na kushangawa. Sasa takriban miaka 20 bado anapanga na waliokula fedha wengi wameishajifia na kumuacha anateseka. Mie pamoja na kuwa navyo vijisenti, sikutumia kwenye harusi zaidi ya mambo muhimu.Hii tabia ya kupanga sherehe kwa kutegemea michango ya watu Ife mtakuja kununia watu bure
Mtu unapanga sendoff ya milioni kumi wakati wewe mwenyewe huna hata uwezo wa kutoa milioni mbili, unapanga ndoa ya milioni 20 wakati wewe mwenyewe hata hela ya suti unategemea uchangiwe acheni huu ujinga.
Ukipanga shughuli angalia na mfuko wako acha mambo ya kuiga iga kisa umeona rafiki zako wamefanya sherehe ya kifahari. Ishi maisha Yako na sio kuigaiga ndio maana wengi wenu hamuoi/hamuolewi.
Unakaa na binti wa watu anakuambia anataka kwenye ndoa yake apande Range Rover wakati kwao uwani wamepaki ndala mbovu zilizotoboka, Shela unataka litoke Italy, Viatu vya Uturuki, Manukato ya Dubai, Suti ya Uingereza, wakati hata passport huna, umekazana kabisa mimi bila sherehe ya bajeti ya milioni 30 siolewi nyau wewe ungekuwa na misimamo hiyo si angekukuta na bikira yako.
Acheni kuwatesa vijana kihisia mnawalazimisha wafanye vitu vilivyo nje ya uwezo wao mwisho mnajikuta mnazalishwa na kuachwa. Sio kila unachokiona kwenye vipindi vya CHEREKO CHEREKO na Ndoa Yako na wewe uviige. Chukua Bwana/Bibi Yako nenda kwa Pastor/ Shehe/ Mfungisha ndoa ukiwa na mashahidi wako na watu wachache maliza shughuli. Unaalika watu 400 umekuwa serikali wewe kwamba umeitisha bunge?
Kadi unapanga mchango laki unaijua laki ni asilimia ngapi ya mshahara wa mtu?Ukipanga jambo lako hakikisha asilimia 60 kwenda juu unaitoa kwenye mfuko wako vinginevyo utakuja kulaumu watu bure.
Nimeandika hapa kuna mtu kapanga sendoff ya milioni kumi kabakiza vikao vitano na michango mpaka sasa kapata laki nane anaishia kulaumu watu na ndugu tu
Aisee pole Sana kiongozi wangu nimeisoma na kuumia as if inanihusu Mimi once again pole SanaMdogo wangu miaka 5 iliyopita alikuja na mtu wake akawaeleza wazaz anataka kuoa,swali likawa una kias gan? Akasema ana 2million wazee waka afiki,lqkn mimi nikatilia shaka mana namjua mdogo wangu ndo kwanza alikua ameanza kifanya kaz yenye mshahara mkubwa nikamuonya usikimbilie ndoa jipange kwanza utengeneze foundation kumbuken hapo alikua anaish kwenye nyumba aliyokua ka rent mwanamke. Utata ukaanza kwenye kupeleka mahari tumefika kule ukwen tuko na mshenga wakwe wakasema wanataka 5milion ile mshenga anataka kupambana nao dogo kainukw kasema haina shida ntatoa tuliingiwa na ubarid muda wakutoa pesa hana ikabid mzee wangu atoe 1million cash...kuondoa aibu,tukaanza vikao vya harus kila akiambiwa toa hela ya ile ahad yako ya 2milion anasema tusiwe na was was ebana mpaka mwisho wa vikao dogo hajatoa na hapo bajet ilikuw 22milion yan kesho ndoa michango 8milion ikabid mzee atoe akiba yake 5mil ikafika 13 yan dogo wala hana was was ndo kwanza anasema anataka benz kwakwel harus ilibid tukaifanyie msimbaz center crate za bia zilikua 8 tu ilikua ni aibu...
Wanawake tuna exemption.Tozo hazina exemption