Ukipanga sherehe yako hakikisha una hela

Wachungaji, mapadri na masheikh wakemee upuuzi huo, hizo harusi za bajeti kubwa ipo siku wachangiaji wataona maajabu, watachanga halafu bwana na bibi harusi wanaoana kimyakimya michango inageuzwa mtaji wa kufungua biashara maisha yaendelee
Kwa shekh nani utakuta huo udwanzi sie tunaoa kwa elfu ishirini mpk laki sometimes tunapewa mke bureeeeee tu
Maeisha yaendelee
 
Wachungaji, mapadri na masheikh wakemee upuuzi huo, hizo harusi za bajeti kubwa ipo siku wachangiaji wataona maajabu, watachanga halafu bwana na bibi harusi wanaoana kimyakimya michango inageuzwa mtaji wa kufungua biashara maisha yaendelee
Yalishatokea sana hayo ndio mana bwana harusi haruhusiwi kushika pesa,wanaweka kamati
 
Hii tabia ya kupanga sherehe kwa kutegemea michango ya watu Ife mtakuja kununia watu bure[emoji2219][emoji2219]

Mtu unapanga sendoff ya milioni kumi wakati wewe mwenyewe huna hata uwezo wa kutoa milioni mbili, unapanga ndoa ya milioni 20 wakati wewe mwenyewe hata hela ya suti unategemea uchangiwe acheni huu ujinga.

Ukipanga shughuli angalia na mfuko wako acha mambo ya kuiga iga kisa umeona rafiki zako wamefanya sherehe ya kifahari. Ishi maisha Yako na sio kuigaiga ndio maana wengi wenu hamuoi/hamuolewi.

Unakaa na binti wa watu anakuambia anataka kwenye ndoa yake apande Range Rover wakati kwao uwani wamepaki ndala mbovu zilizotoboka, Shela unataka litoke Italy, Viatu vya Uturuki, Manukato ya Dubai, Suti ya Uingereza, wakati hata passport huna, umekazana kabisa mimi bila sherehe ya bajeti ya milioni 30 siolewi nyau wewe ungekuwa na misimamo hiyo si angekukuta na bikira yako.

Acheni kuwatesa vijana kihisia mnawalazimisha wafanye vitu vilivyo nje ya uwezo wao mwisho mnajikuta mnazalishwa na kuachwa. Sio kila unachokiona kwenye vipindi vya CHEREKO CHEREKO na Ndoa Yako na wewe uviige. Chukua Bwana/Bibi Yako nenda kwa Pastor/ Shehe/ Mfungisha ndoa ukiwa na mashahidi wako na watu wachache maliza shughuli. Unaalika watu 400 umekuwa serikali wewe kwamba umeitisha bunge?

Kadi unapanga mchango laki unaijua laki ni asilimia ngapi ya mshahara wa mtu?Ukipanga jambo lako hakikisha asilimia 60 kwenda juu unaitoa kwenye mfuko wako vinginevyo utakuja kulaumu watu bure.

Nimeandika hapa kuna mtu kapanga sendoff ya milioni kumi kabakiza vikao vitano na michango mpaka sasa kapata laki nane anaishia kulaumu watu na ndugu tu[emoji2219][emoji2219]
Umenena ukweli mtupu
 
Hahahhaaaa dadeq huo upuuzi wa kufanya harusi za gharama nilianza kuumaind Baada ya Mamamdogo wangu kuifunga Kwa mbembwe na gharama kubwa halafu ndoa ikafa Baada ya mwaka mmoja na hapo nikajiuliza Ile Hela wangenipa ningeendea Chuo Leo ningekua angalau naka degree uchwara,
Pumbaf kabisa siji toa mchango wa harusi ya mtu kamwe
Hata yangu itakua ndogo ya kifamilia baasi hata demu wangu analijua Hilo na ananiunga mkono kabisa!
 
Kuna pisi moja juzi imeangua kilio mbele ya wageni waalikwa kwenye birthday party yake baada ya sponser aliyetegemewa kuja na keki kuacha kupokea simu na akaizima kabisa, inahisiwa Sponser alibanwa na mke wake akashindwa kutoka nyumbani kwake usiku huo.
 
Watu wa ivo dawa yao unatoroka na michango yao km hyu dada alivofanya 😂😂 inaonekana mkaka alipania sna harusi mwisho wke ameishia kwenda kureport police 😂😂😂
Screenshot_20210727-144332_Instagram~2.jpg
 
Hii tabia ya kupanga sherehe kwa kutegemea michango ya watu Ife mtakuja kununia watu bure[emoji2219][emoji2219]

Mtu unapanga sendoff ya milioni kumi wakati wewe mwenyewe huna hata uwezo wa kutoa milioni mbili, unapanga ndoa ya milioni 20 wakati wewe mwenyewe hata hela ya suti unategemea uchangiwe acheni huu ujinga.

Ukipanga shughuli angalia na mfuko wako acha mambo ya kuiga iga kisa umeona rafiki zako wamefanya sherehe ya kifahari. Ishi maisha Yako na sio kuigaiga ndio maana wengi wenu hamuoi/hamuolewi.

Unakaa na binti wa watu anakuambia anataka kwenye ndoa yake apande Range Rover wakati kwao uwani wamepaki ndala mbovu zilizotoboka, Shela unataka litoke Italy, Viatu vya Uturuki, Manukato ya Dubai, Suti ya Uingereza, wakati hata passport huna, umekazana kabisa mimi bila sherehe ya bajeti ya milioni 30 siolewi nyau wewe ungekuwa na misimamo hiyo si angekukuta na bikira yako.

Acheni kuwatesa vijana kihisia mnawalazimisha wafanye vitu vilivyo nje ya uwezo wao mwisho mnajikuta mnazalishwa na kuachwa. Sio kila unachokiona kwenye vipindi vya CHEREKO CHEREKO na Ndoa Yako na wewe uviige. Chukua Bwana/Bibi Yako nenda kwa Pastor/ Shehe/ Mfungisha ndoa ukiwa na mashahidi wako na watu wachache maliza shughuli. Unaalika watu 400 umekuwa serikali wewe kwamba umeitisha bunge?

Kadi unapanga mchango laki unaijua laki ni asilimia ngapi ya mshahara wa mtu?Ukipanga jambo lako hakikisha asilimia 60 kwenda juu unaitoa kwenye mfuko wako vinginevyo utakuja kulaumu watu bure.

Nimeandika hapa kuna mtu kapanga sendoff ya milioni kumi kabakiza vikao vitano na michango mpaka sasa kapata laki nane anaishia kulaumu watu na ndugu tu[emoji2219][emoji2219]
Mdogo wangu miaka 5 iliyopita alikuja na mtu wake akawaeleza wazaz anataka kuoa,swali likawa una kias gan? Akasema ana 2million wazee waka afiki,lqkn mimi nikatilia shaka mana namjua mdogo wangu ndo kwanza alikua ameanza kifanya kaz yenye mshahara mkubwa nikamuonya usikimbilie ndoa jipange kwanza utengeneze foundation kumbuken hapo alikua anaish kwenye nyumba aliyokua ka rent mwanamke. Utata ukaanza kwenye kupeleka mahari tumefika kule ukwen tuko na mshenga wakwe wakasema wanataka 5milion ile mshenga anataka kupambana nao dogo kainukw kasema haina shida ntatoa tuliingiwa na ubarid muda wakutoa pesa hana ikabid mzee wangu atoe 1million cash...kuondoa aibu,tukaanza vikao vya harus kila akiambiwa toa hela ya ile ahad yako ya 2milion anasema tusiwe na was was ebana mpaka mwisho wa vikao dogo hajatoa na hapo bajet ilikuw 22milion yan kesho ndoa michango 8milion ikabid mzee atoe akiba yake 5mil ikafika 13 yan dogo wala hana was was ndo kwanza anasema anataka benz kwakwel harus ilibid tukaifanyie msimbaz center crate za bia zilikua 8 tu ilikua ni aibu...
 
Back
Top Bottom