Kibajaji01 Member Joined Sep 22, 2023 Posts 15 Reaction score 39 Jul 26, 2026 #81 Napenda sana kusikiliza mahubiri ya wasabato japo mi sio msabato, hawa watu mahubiri yao yamenyooka sana, hawana makelele kama wengine, mchungaji anahubiri utafikiri anatufokea, hivyo vitu mi ndio sivitakagi kabisa
Napenda sana kusikiliza mahubiri ya wasabato japo mi sio msabato, hawa watu mahubiri yao yamenyooka sana, hawana makelele kama wengine, mchungaji anahubiri utafikiri anatufokea, hivyo vitu mi ndio sivitakagi kabisa
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 17,915 Reaction score 24,746 Jul 26, 2026 #82 Ngongo said: Hivi ni kwanini mahekalu yao hayana alama ya Msalaba. Click to expand... Hizo wanasema ni sanamu.
Ngongo said: Hivi ni kwanini mahekalu yao hayana alama ya Msalaba. Click to expand... Hizo wanasema ni sanamu.
polokwane JF-Expert Member Joined Dec 16, 2018 Posts 3,976 Reaction score 7,271 Jul 26, 2026 #83 Baba mtakatifu91 said: Wasabato ni selfish sana Click to expand... Wabinafsi haswaa! Siwapendi haswaa
Baba mtakatifu91 said: Wasabato ni selfish sana Click to expand... Wabinafsi haswaa! Siwapendi haswaa