Ukiondoa haya, hakuna usabato

Mimi kila nikipita youtube kwa wasabato nakutana na mashambulizi dhidi ya Papa. Inawezekana ni kweli dhehebu hilo lilianzishwa ili tu kumpinga Papa
Kwakifupi Wasabato adui yao mkubwa ni Wakatoliki sio Shetani😀😀.Sijawahi kuwasikia Wasabato wakiwashambulia Lutheran,T.A.G,Moravian ila kilasiku utawasikia eti ooh Papa na Marekani ndio alama ya mnyama sasa cha kushangaza makao makuu ya Wasabato wote duniani yapo Marekani hukohuko kwenye nchi wanayoiponda😅😅😅
 
Ulaji wa nguruwe
USA&UKATOLIKI(Myama)666

Siku ya Jumamosi

Ndio mafundisho yao makuu wakusanikapo.
Chakushangaza headquarters ya Wasabato ipo Marekani hukohuko wanakosema ndio alama ya 666.Sasa kama wanaamini hivyo si wangeshaondoka wahamie kwenye nchi zingine 😆😆😆
 
Vita vitaanzia Hukohuko Marekani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…