Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 14,751
- 21,152
Sio Kweli mkuu,nimesoma shule ya Wasabato,wanamahubiri mengi Kuna unabii wa Daniel na ufunuo nk.Ulaji wa nguruwe
USA&UKATOLIKI(Myama)666
Siku ya Jumamosi
Ndio mafundisho yao makuu wakusanikapo.
Aloo ambiere Tayari nimeshajiandaa.Iyavo ni msi wa mtaso.
Mimi pia naitamani, Nilisoma secondary,na kumaliza 1990,Bado moyo wangu ngumu kama Farao!Au niwe msabato nini 🙄
Braza, sekondari ulimaliza 1990?Mimi pia naitamani, Nilisoma secondary,na kumaliza 1990,Bado moyo wangu ngumu kama Farao!
umemaliza shule kabla mama na baba angu wahajakutana 🤣🤣🙌Mimi pia naitamani, Nilisoma secondary,na kumaliza 1990
Mimi na wewe tufanye kikao tulegeze mioyo yetu😎,Bado moyo wangu ngumu kama Farao!
Nilisoma shule za Kisabato!Mimi pia naitamani, Nilisoma secondary,na kumaliza 1990,Bado moyo wangu ngumu kama Farao!
Ndio,lakini nataka Mabadiliko ya Nchi!Ukiniona kama vile Nina miaka 18!,Nazingatia muongozo ya Kisabato chips nakula mara 2kwa mwaka,na Fanya mazoezi Kwa Sana,nampenda kazi ngumu nk!Braza, sekondari ulimaliza 1990?
Aloo ambiere Tayari nimeshajiandaa.
Mi kakijeba,siku Jf wakipanga tukutane,tutakimbiana humu mpo na Babu zenu😁😁😁!umemaliza shule kabla mama na baba angu wahajakutana 🤣🤣🙌
Mimi na wewe tufanye kikao tulegeze mioyo yetu😎
Mimi kila nikipita youtube kwa wasabato nakutana na mashambulizi dhidi ya Papa. Inawezekana ni kweli dhehebu hilo lilianzishwa ili tu kumpinga PapaMimi dhehebu langu ni Msabato.
Wasabato tunaweza kuwa na madhaifu fulani lakini katika mafundisho tumesheheni.
Usabato ni biblia nzima. Ni sheria za Mungu wa Torati.
Hongera kaka mkubwa!!Ndio,lakini nataka Mabadiliko ya Nchi!Ukiniona kama vile Nina miaka 18!,Nazingatia muongozo ya Kisabato chips nakula mara 2kwa mwaka,na Fanya mazoezi Kwa Sana,nampenda kazi ngumu nk!
ok.🐒Ulaji wa nguruwe
USA&UKATOLIKI(Myama)666
Siku ya Jumamosi
Ndio mafundisho yao makuu wakusanikapo.
Wow 🤣🤣🤣 OMGMi kakijeba,siku Jf wakipanga tukutane,tutakimbiana humu mpo na Babu zenu😁😁😁!
Wewe umemaliza lini babu yangu mzuriiHongera kaka mkubwa!!
Kipindi hicho hakuna AI Wana simu za mkononi,ukiwa kilaza ni kutoa macho kuchungulizia Kwa jamaa ukikwama kwenye mtihani!Hongera kaka mkubwa!!
Form nilimaliza mwaka ambao huenda ulikuwa unatafutwa mjukuu😅Wewe umemaliza lini babu yangu mzurii
Kipindi tunamaliza Mwinyi Raisi,waziri mkuu John Malecela,Kuna mwamba tulisoma nae mke wa Malecela ni mama yake mkubwa SI kwa kututambia na mikate!Wow 🤣🤣🤣 OMG
Utaje mkuu!Form nilimaliza mwaka ambao huenda ulikuwa unatafutwa mjukuu😅
Uwiiiii🤣🤣 sawaForm nilimaliza mwaka ambao huenda ulikuwa unatafutwa mjukuu😅