Ukiona viashiria hivi ndugu yangu kimbia ama usiguse kabisa

JamiiForums711227307.jpg
 
Kwahiyo sisi wa wadada wenye hivo hizo sifa tufanyeje ili kusovu tatizo sasa!!??? Unatushaurije ndugu Mtoa mada??
 
nilishafanya sana huu ujinga, nilikuwa nasafiri navyo ivi vitu na nikifika popote nachukua yeyote tunapima kwanza wote. nikaja kugundua kwamba, ni dharau sana kwa Mungu kuogopa ukimwi na kufanya zinaa wakati Mungu anakuona. manake unamwambia Mungu sikuogopi wewe naogopa ngoma tu. unamkasirisha sana Mungu. pia jua kwamba, virusi sometimes huwa havionekani mapema, inaweza kuwa negativu kumbe ....., cha muhimu kufanya, mwogopeni Mungu zaidi kuliko ngoma, unapofanya uzinzi jua kabisa Mungu anakuona, unapojifanya unajiokoa maisha yako kwa kuvaa ndomu au kupima kwanza Mungu anakuona na anakushangaa sana kwasababu kuna hatari nyingi anakuokoa nazo mbaya kuliko hata hiyo ngoma ambayo unaweza kusavaivu siku kadhaa kwa kunywa vidonge. Mwogope Mungu anayeona sirini kule kule chumbani uliko kuliko wanadamu au magonjwa. Mungu akikuacha au akiamua kukuadhibu ni hatari kuliko kupata ngoma.
Critical broo

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mkikutana na Mwanaume anawahi kukuambia, amepima juzi kati tuu , alafu hana mpango wa kujua hali yako...KULA PESA YAKE, ALAFU INGIA MITINI, MTUMIE BOOONGE LA MESEJI MBWA HUYO .

Mkikutana na Mwanaume, Umri wake umeenda, ana maisha na MTU wa starehe . Lkn HAJAOA,... Tumia NDOMU... Huyu mbwa ni kitombii nahuenda KAJICHOKEA.

Mkikutana na mwanaume hata humu mtandaoni,,,,anapenda kuzalishaaa lkn kupima hataki...ACHANA NA HUYO MBWAA.
Are you a dude or dudette?
 
nilishafanya sana huu ujinga, nilikuwa nasafiri navyo ivi vitu na nikifika popote nachukua yeyote tunapima kwanza wote. nikaja kugundua kwamba, ni dharau sana kwa Mungu kuogopa ukimwi na kufanya zinaa wakati Mungu anakuona. manake unamwambia Mungu sikuogopi wewe naogopa ngoma tu. unamkasirisha sana Mungu. pia jua kwamba, virusi sometimes huwa havionekani mapema, inaweza kuwa negativu kumbe ....., cha muhimu kufanya, mwogopeni Mungu zaidi kuliko ngoma, unapofanya uzinzi jua kabisa Mungu anakuona, unapojifanya unajiokoa maisha yako kwa kuvaa ndomu au kupima kwanza Mungu anakuona na anakushangaa sana kwasababu kuna hatari nyingi anakuokoa nazo mbaya kuliko hata hiyo ngoma ambayo unaweza kusavaivu siku kadhaa kwa kunywa vidonge. Mwogope Mungu anayeona sirini kule kule chumbani uliko kuliko wanadamu au magonjwa. Mungu akikuacha au akiamua kukuadhibu ni hatari kuliko kupata ngoma.
Nitauprint huu ujumbe,nitaulaminate kisha nitaubandika ukutani geto na ofisini....
Ni kweli tunatumia sana akili za kibinadamu ili kusurvive na majanga,,
Hebu angalia waliojiwekea ulinzi mkubwa wa mageti,ukuta,walinzi na hata mabodyguard ila wanakufa kwa ajali..
Wapo alio fanya party baada kupima na kujikuta hawana ngoma ila wakajikuta kwenye mtego kwenye hiyo party na wakaambukizwa.....
Wapo innocently walioambukizwa makusudi..
Bado kampeni za dunia..
Na mengine mengi tu...
Kikubwa ni kumshukuru MUNGU kwa kila jambo..
 
nilishafanya sana huu ujinga, nilikuwa nasafiri navyo ivi vitu na nikifika popote nachukua yeyote tunapima kwanza wote. nikaja kugundua kwamba, ni dharau sana kwa Mungu kuogopa ukimwi na kufanya zinaa wakati Mungu anakuona. manake unamwambia Mungu sikuogopi wewe naogopa ngoma tu. unamkasirisha sana Mungu. pia jua kwamba, virusi sometimes huwa havionekani mapema, inaweza kuwa negativu kumbe ....., cha muhimu kufanya, mwogopeni Mungu zaidi kuliko ngoma, unapofanya uzinzi jua kabisa Mungu anakuona, unapojifanya unajiokoa maisha yako kwa kuvaa ndomu au kupima kwanza Mungu anakuona na anakushangaa sana kwasababu kuna hatari nyingi anakuokoa nazo mbaya kuliko hata hiyo ngoma ambayo unaweza kusavaivu siku kadhaa kwa kunywa vidonge. Mwogope Mungu anayeona sirini kule kule chumbani uliko kuliko wanadamu au magonjwa. Mungu akikuacha au akiamua kukuadhibu ni hatari kuliko kupata ngoma.
Na watu wote tuseme amen kwa comment nzuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom