Ukiona viashiria hivi ndugu yangu kimbia ama usiguse kabisa

Binafsi hadi nijiakikishie tabia ya mtu ndio naridhika.

Mimi hata nikikutana na malaya anajiuza na akaniambia hii sio kazi yangu, nimekuja hapa leo tu, naweza kumsikiliza zaidi.
 
nilishafanya sana huu ujinga, nilikuwa nasafiri navyo ivi vitu na nikifika popote nachukua yeyote tunapima kwanza wote. nikaja kugundua kwamba, ni dharau sana kwa Mungu kuogopa ukimwi na kufanya zinaa wakati Mungu anakuona. manake unamwambia Mungu sikuogopi wewe naogopa ngoma tu. unamkasirisha sana Mungu. pia jua kwamba, virusi sometimes huwa havionekani mapema, inaweza kuwa negativu kumbe ....., cha muhimu kufanya, mwogopeni Mungu zaidi kuliko ngoma, unapofanya uzinzi jua kabisa Mungu anakuona, unapojifanya unajiokoa maisha yako kwa kuvaa ndomu au kupima kwanza Mungu anakuona na anakushangaa sana kwasababu kuna hatari nyingi anakuokoa nazo mbaya kuliko hata hiyo ngoma ambayo unaweza kusavaivu siku kadhaa kwa kunywa vidonge. Mwogope Mungu anayeona sirini kule kule chumbani uliko kuliko wanadamu au magonjwa. Mungu akikuacha au akiamua kukuadhibu ni hatari kuliko kupata ngoma.
Stori za kumuogopa Mungu zimeanza lini? Si ni miaka ya 1930 tuu hapo wakoloni walivyokuja? Mababu zetu karibia wote walikuwa na wake wengi. Hata enzi za Yesu watu walikuwa wanaoa mitala. Manabii wengi nao walioa wanawake wengi tena wengine walikuwa na masuria(official concubine).

Sheria mfano ya kutooa kwa mapadri imeletwa tu majuzi hapa na kanisa. Kifupi ni kwamba vitu vingi vililetwa na wakoloni ili kuweka order kwenye society.

Hivyo furahia maisha mkuu.
 
Bora mkapime kituo cha afya au mtumie kinga kama ni kimasihara.

Haya umetoka zako huko safari njian umeopoa pisi purukushani za usafiri hadi kufika lodge kupumzika ni saa 5 usiku mnapimana ili mlale vzuri unakuta mmoja kawaka tena mfano ndio wewe mwanaume
Hapo itakuaje sasa
Nimemuuliza pia hili swali..

Ni bora kuambiana days before mkutane ili kila mmoja ajishauri ili akapime mwenyewe then mje mwende wote kupima baadae tena ili kuhakikishiana.

Watu wanakimbiaga kwenda clinic na waliowapa ujauzito sembuse hii??!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapiga chini kumbusuka

Mnalala asbh kila mtu anashika njia yake.

BTW one night stand kutumia ndomu hakuepukiki. Ila kama mtakuwa mnakutana hapa na pale ni vzr mkapima maana hamtaweza kumaintain matumizi ya ndomu kamweee.
 
nilishafanya sana huu ujinga, nilikuwa nasafiri navyo ivi vitu na nikifika popote nachukua yeyote tunapima kwanza wote. nikaja kugundua kwamba, ni dharau sana kwa Mungu kuogopa ukimwi na kufanya zinaa wakati Mungu anakuona. manake unamwambia Mungu sikuogopi wewe naogopa ngoma tu. unamkasirisha sana Mungu. pia jua kwamba, virusi sometimes huwa havionekani mapema, inaweza kuwa negativu kumbe ....., cha muhimu kufanya, mwogopeni Mungu zaidi kuliko ngoma, unapofanya uzinzi jua kabisa Mungu anakuona, unapojifanya unajiokoa maisha yako kwa kuvaa ndomu au kupima kwanza Mungu anakuona na anakushangaa sana kwasababu kuna hatari nyingi anakuokoa nazo mbaya kuliko hata hiyo ngoma ambayo unaweza kusavaivu siku kadhaa kwa kunywa vidonge. Mwogope Mungu anayeona sirini kule kule chumbani uliko kuliko wanadamu au magonjwa. Mungu akikuacha au akiamua kukuadhibu ni hatari kuliko kupata ngoma.
Yan mungu akuadhibu kisa una.tombana?..heb tuwe serious jaman
 
Nimemuuliza pia hili swali..

Ni bora kuambiana days before mkutane ili kila mmoja ajishauri ili akapime mwenyewe then mje mwende wote kupima baadae tena ili kuhakikishiana.

Watu wanakimbiaga kwenda clinic na waliowapa ujauzito sembuse hii??!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kitu ni hatari sana... Kupima inahitaji utayari wa mtu ajiandae kupokea majibu in case of anything😃

Ndio maana vituo vya afya kabla ya kupima mnapewa somo kidogo ili kuwaweka sawa kisaikilojia
 
Unapiga chini kumbusuka

Mnalala asbh kila mtu anashika njia yake.

BTW one night stand kutumia ndomu hakuepukiki. Ila kama mtakuwa mnakutana hapa na pale ni vzr mkapima maana hamtaweza kumaintain matumizi ya ndomu kamweee.
Kutakua na kulalika hapo? Kila mtu atakua anamlinda mwenzake asimdhuru.

Kinga muhimu and yes mkiamua kufanya endelevu then mnapima japo nayo sio guarantee maana hujui mwenzako usipokuwepo labda anabanjuka na wengine.
Tabu iko palepale😂
 
Tabu iko palepale
Hapo inabidi uwe na akili ya ziada..... Angalia na unayembusuka naye ni mtu type gani..... Kama unaona ni mtu wa kurukaruka hakuna namna zaidi ya kuongeza ulinzi mara dufu....

Sababu hata msipopima mkasema mnatumia ndomu itafika muda mtambusuka kavukavu tuu.
 
Ndio hivyo unakua makini tu
 
Acha woga wewe hayana formula hayo.

Kama ulikua hujui hamna watu ambao wako makini na afya zao kama hao unaowatuhuku kwa kugawa.

Ila huyo kimbulu unaemuamini kwa kwenda sana kanisani na kuvaa maguo marefu ndo atakupa ngoma sasa.

Kimbulu, wildcat…. bonge la nyau.!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom