Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,777
- 15,562
Yaani utapararaizi vibaya aloooh....Hawajui wana wake, tena ukiwa na mind hizo utaumia hadi utoe uhai wako, kama ukikuta mwanamke ana tabia hizo za kutoka nje hata ukikesha upiga mashine hadi asubuhi bado atatoka nje, hiyo ni nature, ndio maana comments nyingi humu ni zetu wana ume wana wake wapo humu wanatuangalia tu maana nature yao na yetu ni tofauti, hilo ni kuacha kama lilivyo na timiza majukumu yako kama baba wa familia mengine yaache usipate kichaa, just do for the sake of your family and kids, lakini ukianza kumpekua mkeo basi jua unaelekea kuwa disappointed, and u will run mad.
Niulize mimi😅😅🙌🙌

