TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 6,551
- 20,260
Mwisho wa siku kila mmoja anaongelea mapenzi kwa namna anavoyajua so kila mmoja afanye kwa namna anavyo hisi ni sahihi.
Kwa uzoefu wangu wa miaka zaidi ya 20 kwenye gemu...
1. Idadi ya magoli unayopiga hayana uhusiano wowote na mwanamke kufika kileleni au kufurahia tendo.
2. Kila mwanamke ni tofauti. Mfano:
- kuna mwanamke yeye anapenda sana romance na anaweza kumaliza haja zake kwa kuchezewa tu bila hata kutiwa.
- kuna mwanamke anapenda mkuyenge, yeye mkifika room hataki mambo mengi ni mkuyenge tuu mwanzo mwisho ndio anafurahi
- kuna mwanamke bila kumuweka style fulani hafiki kileleni hata u-pump usiku kucha
- kuna mwanamke ana siku maalum ktk mzunguko wake ambazo anaenjoy sex. Nje ya siku hizo unakua unatwanga maji kwn kinu sanasana anakupa kukuridhisha tu
- kuna mwanamke bila kumpa hela, zawadi au kumsifia na maneno matamu nk hafiki kileleni hata ufanye nini
- kuna mwanamke ambae mkitiana yeye anaweza unganisha hata 3 kwa mpigo, baada ya hapo ndio imetoka hiyo hana ham tena hata akae mwezi
3. Haijalishi mwanamke ulie nae ni wa aina gani kati ya hizo, wala haijalishi unamkojoza kiasi gani. Kama huyo mwanamke ana malengo ambayo wewe huwezi kuyatimiza, ATAKUACHA! Mfano yeye anataka ndoa we unambwelambwela, atakupiga chini asubuhi kweupe na ATAKUSAHAU mazima!