Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,454
Hapo kwenye cowboy na supe gee nimekumbuka mbali kidogo.
Yani kijiradio chetu kilikuwa kinatafuna sana kanda, nikishaona imeharibika narudisha kwenye kasha lake nakaa kimyaaaaaa, lakini wakirudi wanajua tu kuwa ni Mimi... Utoto raha sanaaa

Kwenye utunzaji uko vizuri mkuu
Duh! Huwa napitaga kimya kimya,lakini wewe umenichekeshaWapishi wenyewe ni hawa KUCHI? micro wave na azam gas![]()
![]()
nazi inaungwa kama kitunguu
![]()
![]()
halafu hakuna kufunikiwa hupati ukoko wala matandu/mahaba...wallah huo ukinukia labda uumwagie pafyume ya kichina yenye harufu ya wali nazi
![]()
![]()
....unamwambia kimwana leo nataka wali wa nazi unakuta bokoboko la ubwabwa tepetepe limewekwa nazi ya azam ile ya pakiti....! Ukiwekwa kwenye sahani vinajitenga azam nazi juu bokoboko la mpunga chini utafikiri vinafanya igizo la sarakasi
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Haujafika. Wameweka nguzo Na kuzitelekeza.!Mkuu huko kwa bibi hii project ya REA haijafika bado?
Kama bado,subira yavuta kheri kaka
Ila hiyo remote umechomekea
Malizia barrrrrrrrrdi saanaDompoooo
Dozi ya kwanza sita mara mojaRangi mbili
Kata ndio nini mkuu?
Asante kwa jibu lako, nami nilihisi ni kitu hicho ila sikuwa na uhakika kama ni chenyewe.Kata ni chombo kinachotumika kuchotea Maji au Pombe kutoka Mtungini au Pipani au kwenye Ndoo au Kisimani,kilichotengenezwa kwa kifuu cha nazi au kibuyu au kopo pamoja na kipande cha mti/mti mwembamba.
Huo mti hutumika kama mshikio(handle).
Mwenye picha atuwekee.
hii mambo nimecheza mpaka darasa la saba, binti yangu sasa hawezi hata kutengeneza mwanasesere wa vitambaa, kwa maana akitaka anampata wa dukani. watoto wakimujini sikuhizi hata mira ya kuchezea mpaka dukani.hii kitu madam nyamchele ilikuwa ni raw material ya kutengenezea Magari ya bati pia(watoto na vijana). Huwezi kukuta hili kopo jalalani kirahisi.![]()
la pili kushoto
Mkuu ni kweli ukiweka maji kwenye mtungi yanakuwa baridi hata kwa hali ya hewa ya dar?Maji ya kwenye mtungi ya baridi sana wakati wote. Siku hizi kuna freezers watu wamesahau mambo ya kale.
Umenikumbusha mbali sana dah!
Labda blue bandMbona mpaka leo tunatumia vyote?
Nimejikuta nachekaaaaaWapishi wenyewe ni hawa KUCHI? micro wave na azam gas![]()
![]()
nazi inaungwa kama kitunguu
![]()
![]()
halafu hakuna kufunikiwa hupati ukoko wala matandu/mahaba...wallah huo ukinukia labda uumwagie pafyume ya kichina yenye harufu ya wali nazi
![]()
![]()
....unamwambia kimwana leo nataka wali wa nazi unakuta bokoboko la ubwabwa tepetepe limewekwa nazi ya azam ile ya pakiti....! Ukiwekwa kwenye sahani vinajitenga azam nazi juu bokoboko la mpunga chini utafikiri vinafanya igizo la sarakasi
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
