Ukiona picha hizi zinakukumbusha nini

Ukiona picha hizi zinakukumbusha nini

Walikitupa waliponunua radio ya [emoji331] [emoji331] [emoji332] [emoji333]
aiss uipige kabisa picha hiyo iliyonunuliwa...kuna uwezekano wakinunua ya Bluetooth na hiyo itatupwa!
 
Hii ntakuuzia wakitaka kuitupa maana kwenu sitimbi bado hazijafika[emoji23] [emoji23]
 
kwetu pandagichiza siyo sitimbi...sitimbi wanaishi wanawake wanaume wa dar wakitaka kuoa wanaenda kuwachukua huko...wenye adabu!
 
Mimi nikiona huo mtungi wa maji nakumbuka mbali sana sikuhizi siioni sijui kama bado ipo.
Maji yake yana harufu nzuri ya udongo na ladha ya pekee yake.
 
kwetu pandagichiza siyo sitimbi...sitimbi wanaishi wanawake wanaume wa dar wakitaka kuoa wanaenda kuwachukua huko...wenye adabu!
Hahahahahaha kwahiyo sie wengine adabu hatuna??
 
aaah nyie wa dsm mnamatatizo sana...mara mtuite mabuzi mara vibamia mara tunaogopa panya...sasa ndo adabu hiyo!bora wa sitimbi bana!
 
Hao wa sitimbi wakiingia mjini WAOGOPE[emoji119] wakishajua kuwa mjini kuna vitu vinaliwa ambavyo wao hawajawahi hata kuota wanakuwa hawakamatiki. Heri sisi pamoja na kuwaita vibamia tunawavumilia tu na maisha yanaendelea[emoji85]
 
simpaka avijue...anaanzaje kwa mfano wakati atakuwa anauza maji ya kisima nilichokichimba kujiongezea kipato
 
Atakutana na mafundiiii si unajua mjini akili atazikuta huku huku, kashazoea chemli anakutana na umeme, anaona radio ya picha wakati sitimbi ni mpaka kwa mjumbe,
 
hivi vitu vinanikumbusha mbali sana huko kijijini kwetu, enzi hizo maisha yalikuwa rahisi sana, vyakula vingi, nyumbani siku wakipika wali watoto hamlali mapema, hadithi nyingi mpaka mnapiga hizo punje
 
Wali maharage yalikua yana harufu nzuri na walipikia mafuta ya pamba[emoji39] [emoji39] sijui kwann siku hizi wali haunukii!!
 
Wapishi wenyewe ni hawa KUCHI? micro wave na azam gas [emoji23] [emoji23] [emoji23] nazi inaungwa kama kitunguu [emoji134] [emoji134] [emoji134]halafu hakuna kufunikiwa hupati ukoko wala matandu/mahaba...wallah huo ukinukia labda uumwagie pafyume ya kichina yenye harufu ya wali nazi[emoji87] [emoji87] [emoji87] ....unamwambia kimwana leo nataka wali wa nazi unakuta bokoboko la ubwabwa tepetepe limewekwa nazi ya azam ile ya pakiti....! Ukiwekwa kwenye sahani vinajitenga azam nazi juu bokoboko la mpunga chini utafikiri vinafanya igizo la sarakasi[emoji14] [emoji14] [emoji26] [emoji27] [emoji31] [emoji30] [emoji29]
 
Wapishi wenyewe ni hawa KUCHI? micro wave na azam gas [emoji23] [emoji23] [emoji23] nazi inaungwa kama kitunguu [emoji134] [emoji134] [emoji134]halafu hakuna kufunikiwa hupati ukoko wala matandu/mahaba...wallah huo ukinukia labda uumwagie pafyume ya kichina yenye harufu ya wali nazi[emoji87] [emoji87] [emoji87] ....unamwambia kimwana leo nataka wali wa nazi unakuta bokoboko la ubwabwa tepetepe limewekwa nazi ya azam ile ya pakiti....! Ukiwekwa kwenye sahani vinajitenga azam nazi juu bokoboko la mpunga chini utafikiri vinafanya igizo la sarakasi
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] yooote hii ni madhara ya utandawazi aiseee,,,imagine hata chapati zipo ready made[emoji16] .
Na ni bonge la fursa kutengezea harufu ya walI lazima mtu avune pesa aisee maana hata mbegu za siku hizi twaambiwa za miezi michache...sio GMO hizi[emoji134]
 
Aisee zile chapati zina kiungulia hatari...kiungulia chake ni kiungulia dume tena kijeba..utakurutwa kifua mwanzo mwisho hata andrews caustic soda haifui dafu
 
Back
Top Bottom