Ndiyo,mimi mpaka keshokutwa nikienda kijijini naweka maji kwenye mtungi,hapa nilipo nafikiria kuleta mtungi kutoka kijijini kuja DarMkuu ni kweli ukiweka maji kwenye mtungi yanakuwa baridi hata kwa hali ya hewa ya dar?
Hiyo mitungi inapatikana wapi kwa dar?Ndiyo,mimi mpaka keshokutwa nikienda kijijini naweka maji kwenye mtungi,hapa nilipo nafikiria kuleta mtungi kutoka kijijini kuja Dar
Mkuu, mimi nataka nikachukue kijijini Dar sijawahi kuiona mitungi hivyo vyungu vinatoka nje ya DarHiyo mitungi inapatikana wapi kwa dar?
mseza mkulu,nilikuaga natumia koloboi form 2 majiran ze2 walikuaga na umeme,tukifanya mitihan shule nakua wa kwanza au pili,wale majiran zangu wakawa wanahisi koloboi inaongeza akili,wakaacha ku2mia umeme wakawaambia wazaz wao wanunuliwe koloboi![]()
hii kitu mwisho kutumia saa mbili na nusu usimalize mafuta, lkn watu walikuwa wanapata A
Mzee Wa ushirombo uko vizuri.mseza mkulu,nilikuaga natumia koloboi form 2 majiran ze2 walikuaga na umeme,tukifanya mitihan shule nakua wa kwanza au pili,wale majiran zangu wakawa wanahisi koloboi inaongeza akili,wakaacha ku2mia umeme wakawaambia wazaz wao wanunuliwe koloboi
Mabetri ile ukivuka mstari unakuwa Wa mwisho kulenga. Ukilenga likianguka lako.Mimi nakumbuka michezo ya kombolela,michezo ya kuitumia betri za radio tunatumia kulenga shabahh...tunakulana kadi za wasanii ambazo zilikuwa zinapatikana kwenye big g,michezo ya goroli,kutengeneza Magari kwa kuitumia makopo...
Tuliyo kulia uswazi ilikuwa burudani
nimeipenda ii imenkumbusha zamani sana....siku hizi hamna af hata nshasahau jinsi ya kudesignhii kitu madam nyamchele ilikuwa ni raw material ya kutengenezea Magari ya bati pia(watoto na vijana). Huwezi kukuta hili kopo jalalani kirahisi.![]()
la pili kushoto
Nilikuwa najifanya msongo kusoma kwa chemli NAAMBIWA WE JIFANYE KUSOMA ukimaliza mafuta utanunua mwenyewe

umetisha sana mkuu.Ndiyo,mimi mpaka keshokutwa nikienda kijijini naweka maji kwenye mtungi,hapa nilipo nafikiria kuleta mtungi kutoka kijijini kuja Dar
uko vizuri chiefView attachment 334826
Chemli na karabai bado zipo na tanesco wakizingua naweka spirit kwenye karabai mwaahhh.![]()
![]()
pia wanabakwa,zamani utoto ulikua mzuri,tishio kubwa lilikuwa wachuna ngoziSiku hizi hata watoto hawaufurahii utoto wao