Wapishi wenyewe ni hawa KUCHI? micro wave na azam gas [emoji23] [emoji23] [emoji23] nazi inaungwa kama kitunguu [emoji134] [emoji134] [emoji134]halafu hakuna kufunikiwa hupati ukoko wala matandu/mahaba...wallah huo ukinukia labda uumwagie pafyume ya kichina yenye harufu ya wali nazi[emoji87] [emoji87] [emoji87] ....unamwambia kimwana leo nataka wali wa nazi unakuta bokoboko la ubwabwa tepetepe limewekwa nazi ya azam ile ya pakiti....! Ukiwekwa kwenye sahani vinajitenga azam nazi juu bokoboko la mpunga chini utafikiri vinafanya igizo la sarakasi