Ukiona Picha hii Unajisikiaje?

Hakika wananchi tunataka kuona siasa za kistaarabuu kama Rais Samia Suluhu alivyoagiza
 
Sioni kama hicho kikundi kinaweza kushika nchi ...Bado wanahitaji kujitangaza zaidi kwa sasa pametulia wapambane na sera safi maana 2025 ni kama keshokutwa tu ...


Wazidi kutumia hii nafasi kupata ushawishi mkubwa kila mkoa na kanda zote hii itawaletea nguvu zaidi ila kwa ....Kundi kama vijana bodaboda kwa nyuma hapo ndo wengi wakae nao vizuri sio.


Kwa hao labda kutetea viti bungeni uwezo mkubwa wanao ila sio kushika nchi ...Bado sana wafanye dominance mda upo wa kutosha wazunguke kanda zote kujenga ushawishi.
 
 
Naona niwendawazimu wanahanja barabarani
 
Hili ni kundi la wahuni ndugu
 
Unashindwa kujua hivi naa huyu atabadilika kama wale waliopata vyeo?

Nchi masikini ukipata madaraka unasahau ulikotoka unaanza kejeli na dhihaka kwa waliokupa ugali

Tunawajua wengi sana
Usimuamini mtu maishani period
 
Nachoona ni sura geni mingi ila kwajili kitu cheusi kina onekana mapema kwenye rangi nyeupe wenye pupa wata bebwa wengi na pupa
 
Sasa wavuta bange na wezi wa wa magari wasikamatwe?

KENGE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…