Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,433
- 283,714
Nahisi mambuzi yanahara matumbo
huko wapi ?Hivi wenzetu huko nao wanafanya mambo kama hayo?
Amen
Mungu ibariki CHADEMA
Kwahiyo kumbe hayupo ! lakini ni nguzo ! [emoji38][emoji38][emoji38] My foot !!Hapo simuoni Dr. Slaa,
Maana upende usipende Dr. Slaa ndio nguzo ya chadema,
HahahahKwahiyo kumbe hayupo ! lakini ni nguzo ! [emoji38][emoji38][emoji38] My foot !!
Una maanisha hivi ?Hao wote ni wachumia tumbo tu,kama waliopo madarakani tu.
Wananchi gani hawa waliyolaaniwa?(bodaboda)Mama ashukuriwe sana kwa kuirejesha na kuimarisha demokrasia ya vyama vingi nchini.
Sasa kinacho takiwa kwa wanasiasa ni kutumia uhuru vyema kwa kuiweka Tanzania mbele sio kupandikiza chuki na kuchochea vurugu.
Wananchi tunataka kusikia siasa za maendeleo sio matusi na kejeli.
Kama wameweza kutembea kwa uhuru kiasi hiki bila kuhofia watu wasiojulikana inatakiwa tumshukuru sana Mungu kwa kutuletea Rais Samia Suluhu maana amerejesha amani iliyokua imepotea kwa zaidi ya miaka 5 kwa hili jambo kubwa la kurejesha democrasia aisee tutafika na Mama hadi 2030Hebu itazame kwa makini halafu tuambie.
View attachment 2535070
Miongoni mwa watu hawa unaowaona hapo hakuna ambaye hajawahi kukamatwa, kufungwa jela au kulogwa, lakini kwa nguvu ya Mungu leo wanadunda.
Utukufu wa Mungu ni wa Ajabu sana.
Je, yale ya Hichilema wa Zambia yatajirudia 2025 nchini Tanzania?
Na awalaani bodaboda wote.Mungu ibariki CHADEMA