SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,639
- 10,263
Kwamba TISS wenyewe hawapelekewi moto?Mwaka fulani nilirudi mtaani baada ya miaka kadhaa ya kupambania kombe ughaibuni, pale mtaani kulikuwa na zigo hilo balaa,, zigo zigo kweli, la kuvunja chaga la makamo hivi, nilipoulizia kali nikaambia halina mtu,, wakati najipanga ili nitupe karata yangu kuna mwana mmoja wa kuheshimika pale kitaa akanisanua ya kuwa lile zigo kumbe ni TSS na lipo pale mtaani kwa misheni maalum,, basi nyeg^#e zote zikanishuka