Ukiona Mwembe umejaa Maembe yaliyoiva kwenye Nyumba yenye Watoto watukutu basi kuna mawili

Mwaka fulani nilirudi mtaani baada ya miaka kadhaa ya kupambania kombe ughaibuni, pale mtaani kulikuwa na zigo hilo balaa,, zigo zigo kweli, la kuvunja chaga la makamo hivi, nilipoulizia kali nikaambia halina mtu,, wakati najipanga ili nitupe karata yangu kuna mwana mmoja wa kuheshimika pale kitaa akanisanua ya kuwa lile zigo kumbe ni TSS na lipo pale mtaani kwa misheni maalum,, basi nyeg^#e zote zikanishuka
Kwamba TISS wenyewe hawapelekewi moto?
 
Kwamba TISS wenyewe hawapelekewi moto?
Ushaambiwa na wakulungwa wa mtaa kaja kwa ajili ya misheni maalum, so wana maana yao kulileta zigo kama lile,,, ukijitia wewe kibor##o dinda unaweza ukamsaidia ushahidi kwenye hiyo misheni yake, simaanishi kwamba TSS hawapigwi mshipa,,, ni kama alivyosema mleta uzi, ukimuona demu wa makamo yupo yupo tu mtaani kabla ya kumtokea fikiri kwanza ikiwezekana uliza wandewa wa kitaa ,,,,
 
We ndio hujui,sisi tulikuwa tunakula yale ya ndani,unapanda unakula hukohuko juu,mengine unang'atia mtini baada ya siku kadhaa linaiva
Miembe mingine inanyoka unapanda unakutana na nyoka mwenye makengeza hakuna rangi utaacha kuona
 
Hivi na yale mapapai na mapera yanayoivia mtini na kuliwa na ndege tu wakati wapangaji wapo wanaogopa nini kuyala? Au wanamuogopa mwenye nyumba wakiyala watapandishiwa kodi? Inatia huruma sana matunda kuivia mtini hakuna mtu wa kuyala ni ndege tu wanayafaidi.
Ukiona hivo kuna jambo! Gusa uone! Unaota unapelekewa ....
 
Mimi wakati naishi Mwanza,,nilibaatika kupata demu pale mtaa wa Rufiji,,yule demu alikuwa kaunta wa bar,, alikuwa chombo kweli Sasa tatizo akinywa bia moja tu lazima godoro muanike
 
Mwaka fulani nilirudi mtaani baada ya miaka kadhaa ya kupambania kombe ughaibuni, pale mtaani kulikuwa na zigo hilo balaa,, zigo zigo kweli, la kuvunja chaga la makamo hivi, nilipoulizia kali nikaambia halina mtu,, wakati najipanga ili nitupe karata yangu kuna mwana mmoja wa kuheshimika pale kitaa akanisanua ya kuwa lile zigo kumbe ni TSS na lipo pale mtaani kwa misheni maalum,, basi nyeg^#e zote zikanishuka
Yaan siku hizi hakuna maadili kabisa. Mpk raia mnajua huyu ni TISS na yuko kwa mission maalum? Si tatizo hili?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Kitendo cha kutoolewa au kuoa hadi makamo yasogee lazima kuwepo sababu!

Rai yangu ni lazima kuwepo tafakari ya kina watu wanaoingia kwenye hayo mahusiano!
hakuna time limit ya kuoa au kuolewa....hatuoi wala kuolewa muda ukifika, instead tunaoa na kuolewa kwa the right person...kuoa na kuolewa sio mchezo wa bahati nasibu
 
Ukiona Mwembe umejaa Maembe yaliyoiva na kuning'inia kiasi cha kuvutia kwenye nyumba ya watoto watukutuku au shule basi tambua kuna haya mawili;

1. Huenda Mzee mwenye mwembe ni mkali sana au Mchawi
2. Maembe ni machungu balaa yasiyolika hata kwa chumvi!

Kwa mfano ule ule utumie pia unapoona Mrembo/Mkaka wa makamo Ambaye hajaolewa/oa Usikurupuke kuingia kichwa kichwa lipo jambo!

Vuta subira!

Tambua kwamba kama kwa jirani Maembe kama hayo yanaliwa na chumvi yakiwa machanga! Iweje Hayo yakomae yakiwa mtini?
Mzee ujumbe wako ni mkubwa Sana
Umezungumza jambo la msingi Sana
Uwezekano wa mwenye muembe kuwa mchawi ni mkubwa
 
Mimi wakati naishi Mwanza,,nilibaatika kupata demu pale mtaa wa Rufiji,,yule demu alikuwa kaunta wa bar,, alikuwa chombo kweli Sasa tatizo akinywa bia moja tu lazima godoro muanike
Umeona Sasa ndo ukaelewa kwann ulimkuta single
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom