Kaa mbali na mwanamke wa hivyo ... yaani miaka 12 tangu mebarehe ... ???? Hatari sana .. ana mengi kakutana nayo!Kwa kifupi nina uzoefu wa kiasi fulani kuwa na urafiki wa kimapenzi au urafiki wa kawaida na wanawake waliozidi miaka 30.. Kuna vitu vingi sana najifunza kutoka kwao..
Wengi wao wanafika umri huo bila kuolewa kwa sababu zifuatazo..
Wengi toka wakiwa wadogo ni Viburi.. Wengine wana tabia ya Dharau.. Wengine wanajisikia sana.. Wengine wana mambo mengi, unakua na demu akili yake haitulii napenda mambo makubwa mno kuliko uwezo.. Wengine umalaya.
Kwa tabia hizo lazima mwanamke ufike miaka 30 bila kuolewa. Kama unatabia hizo mwanamke badilika mapema, wanaume tuko makini sana kwenye kuangalia mke wa kuoa. Badilika
Karagabao...Umri huo ndio mzuri maana anakuwa amekomaa na unauzoefu na mambo mengi wala hahitaji kitechen party.
Sio kweli mtoa Maada unatupotosha.. Na wenyewe wana haki zote halafu pia NDOA ni BAHATI Inawezekana huko nyuma hakupata WA kumfaa.. Me hizi Maada za kuchambua in general wakati unakuta ni matukio machache tu ndo yamefanya uwachukulie HiVyO.. Watu wanatofautina.. KILA MTU NA mtizamo wake
Karagabao...
Inabidi muandaane ... muendane kitabia ili inapofika umri flani mwende sawa...
Hilo ni gumegume .. halikunjiki
Mkuu sio kweli.. Mimi sio mmoja Wao Nimejaribu tu kuweka na mimi mitizamo yangu kwenye hili hasa ukizingatia nishaona mifano mingi ya NDOA washkaji ZANGU wameoa above 30 na wanaishi vizuri tu na wake zaoKwani Vp. INAONEKANA WEWE NI MMOJA WAO NINI! Mbona imekutouch sana
La hivyo sio la kuoa, likikubali kutumika - unalitumia na kusepa!Hivyo hivyo mkiwaona muwe mnawaleta kwangu. Nyie muendeleee na vidagaaa.
Sio 12 mkuu, sema 16 kabisa. I mean 30-14.Kaa mbali na mwanamke wa hivyo ... yaani miaka 12 tangu mebarehe ... ???? Hatari sana .. ana mengi kakutana nayo!
Nani kakudanganya wewe, kuna mabinti wengi tu under 30 wapo very smart, labda kama ukomavu na uzoefu unaouzungumzia wewe ni wa kutembea na wanaume wengiUmri huo ndio mzuri maana anakuwa amekomaa na unauzoefu na mambo mengi wala hahitaji kitechen party.
Umeshapewa na wangapiMwenye umri huo ukimuingia kwa gia ya kumuoa wala hakunyimi papuchi