Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,242
- 18,419
Hapana mkuu! Wabunge wa ccm wapo pale kutetea maslahi yao na ya chama Chao tu! Ndiyo maana waliipinga katiba mpya,na sasa hawataki CAG! Na Cag yupo pale kulinda maslahi ya wananchi dhidi ya serikali ambayo wabunge wa ccm ni sehemu yake!Uko sahihi kabisa.
Wewe ni mpumb.av.u tena wa kutupwaTatizo mnatumia frusyration kuchangia hoja.
Hasira za kukosa ndio zaidi
Kwani wabunge wanatetea maslahi ya nani wewee. Tatizo ni lile neno...ni lini CAG alifanya tathmini ya utendaji wa bunge na kutoa hiyo ripoti kwa vyombo husika..? Swali hili hakina jibu..sasa iweje leo anaitathmini bunge mdomoni tu ghafla bila research findings..wajameni hivi CAG si msomi yule au...sio...anatia aibu wasomi nchi hii..hiviiii yule..ni..........yaani najizuia kusema maneno mabaya kwasababu natumia busara..siropoki..vinginevyo ningekuwa sina busara ningeropoka maneno mabaya sana hapa..inaudhi sana..hivi niulize ameshawahi kuwasikia CAG waliopita wakina Utouh..wakitoa maneno kama hayo..? Au udhaifu umeanza awamu hii atuambie basi..na huko awamu nyingine hakukukuwa na udhaifu..sawa...?
Mpumbavu ni wewe iliyeshinda njaa leo,halafu unaleta hasira ya njaa humu kwenu siafu wewe[emoji220][emoji220][emoji220][emoji220][emoji220]Wewe ni mpumb.av.u tena wa kutupwa
Kwa hiyo wewe unashabikia ubabe wa Spika ?!. Ya kutaka watu wapigwe pingu kumfurahisha nafsi !! Hii ndiyo sifa ya ki ccm . Umefirisika mawazo kama si akili.Mtu huyo Lazima atakuwa na tabia za Kichadema, Tabia za kutaka Taifa liharibikiwe tu, kutaka Serikali iliyoko madarakani iharibikiwe, kutaka CCM iharibikiwe, Mijitu hii ni Rahisi mno kuijua. Kwa kupitia comments mitandaoni
Sikujua kwamba wewe ndo ******!!Mtu huyo Lazima atakuwa na tabia za Kichadema, Tabia za kutaka Taifa liharibikiwe tu, kutaka Serikali iliyoko madarakani iharibikiwe, kutaka CCM iharibikiwe, Mijitu hii ni Rahisi mno kuijua. Kwa kupitia comments mitandaoni
Si mmeona? ?? Li-Chadema hili, Povu kibao la matusi
Kwani wabunge wanatetea maslahi ya nani wewee. Tatizo ni lile neno...ni lini CAG alifanya tathmini ya utendaji wa bunge na kutoa hiyo ripoti kwa vyombo husika..? Swali hili hakina jibu..sasa iweje leo anaitathmini bunge mdomoni tu ghafla bila research findings..wajameni hivi CAG si msomi yule au...sio...anatia aibu wasomi nchi hii..hiviiii yule..ni..........yaani najizuia kusema maneno mabaya kwasababu natumia busara..siropoki..vinginevyo ningekuwa sina busara ningeropoka maneno mabaya sana hapa..inaudhi sana..hivi niulize ameshawahi kuwasikia CAG waliopita wakina Utouh..wakitoa maneno kama hayo..? Au udhaifu umeanza awamu hii atuambie basi..na huko awamu nyingine hakukukuwa na udhaifu..sawa...?
hivi wewe msemaji wa serikali ya ccm, ulitaka cag afanye utafiti upi zaidi ya ripoti ya ukaguzi aliyowapelekea wabunge mwaka jana ikiwa na kila taarifa ya mapato na matumizi na jinsi pesa zilivyoliwa lakini bunge halikufanya kazi yake ya kuishauri serikali kama sehemu ya wajibu wao?Kwani wabunge wanatetea maslahi ya nani wewee. Tatizo ni lile neno...ni lini CAG alifanya tathmini ya utendaji wa bunge na kutoa hiyo ripoti kwa vyombo husika..? Swali hili hakina jibu..sasa iweje leo anaitathmini bunge mdomoni tu ghafla bila research findings..wajameni hivi CAG si msomi yule au...sio...anatia aibu wasomi nchi hii..hiviiii yule..ni..........yaani najizuia kusema maneno mabaya kwasababu natumia busara..siropoki..vinginevyo ningekuwa sina busara ningeropoka maneno mabaya sana hapa..inaudhi sana..hivi niulize ameshawahi kuwasikia CAG waliopita wakina Utouh..wakitoa maneno kama hayo..? Au udhaifu umeanza awamu hii atuambie basi..na huko awamu nyingine hakukukuwa na udhaifu..sawa...?
We fala CAG hajawekwa na chama chochote zaidi ya katiba! Yupo kwa matakwa ya kisheria not matakwa ya CCM wala polepole.Mtu huyo Lazima atakuwa na tabia za Kichadema, Tabia za kutaka Taifa liharibikiwe tu, kutaka Serikali iliyoko madarakani iharibikiwe, kutaka CCM iharibikiwe, Mijitu hii ni Rahisi mno kuijua. Kwa kupitia comments mitandaoni
DuhMtu huyo Lazima atakuwa na tabia za Kichadema, Tabia za kutaka Taifa liharibikiwe tu, kutaka Serikali iliyoko madarakani iharibikiwe, kutaka CCM iharibikiwe, Mijitu hii ni Rahisi mno kuijua. Kwa kupitia comments mitandaoni
Jibuni kwanza madudu yaliyopo kwenye ripoti ya CAG ndio muendelee chuki zenu dhidi ya wengine.Mtu huyo Lazima atakuwa na tabia za Kichadema, Tabia za kutaka Taifa liharibikiwe tu, kutaka Serikali iliyoko madarakani iharibikiwe, kutaka CCM iharibikiwe, Mijitu hii ni Rahisi mno kuijua. Kwa kupitia comments mitandaoni
Hapana mkuu! Wabunge wa ccm wapo pale kutetea maslahi yao na ya chama Chao tu! Ndiyo maana waliipinga katiba mpya,na sasa hawataki CAG! Na Cag yupo pale kulinda maslahi ya wananchi dhidi ya serikali ambayo wabunge wa ccm ni sehemu yake!
Tuharibikiwe mara ya ngapi?Mtu huyo Lazima atakuwa na tabia za Kichadema, Tabia za kutaka Taifa liharibikiwe tu, kutaka Serikali iliyoko madarakani iharibikiwe, kutaka CCM iharibikiwe, Mijitu hii ni Rahisi mno kuijua. Kwa kupitia comments mitandaoni
Kwa hiyo wewe unashabikia ubabe wa Spika ?!. Ya kutaka watu wapigwe pingu kumfurahisha nafsi !! Hii ndiyo sifa ya ki ccm . Umefirisika mawazo kama si akili.
CAG anasababishaje serikali kushindwa kuongoza ?!
Mleta mada mpuuzi kabisa
We fala CAG hajawekwa na chama chochote zaidi ya katiba! Yupo kwa matakwa ya kisheria not matakwa ya CCM wala polepole.
UTAKUWA UNASUKUMWA KWA NYUMA WEWEMtu huyo Lazima atakuwa na tabia za Kichadema, Tabia za kutaka Taifa liharibikiwe tu, kutaka Serikali iliyoko madarakani iharibikiwe, kutaka CCM iharibikiwe, Mijitu hii ni Rahisi mno kuijua. Kwa kupitia comments mitandaoni