Ukiona Jaji mkuu anafanya press conference ujue hakuna muhimili wa mahakama, ushawekwa mfukoni na mtu

Kwa mara ya kwanza tangu mhimili wa mahakama uanzishwe duniani, leo Jaji Mkuu wa TZ kafanya Press Conference kujibu mijadala inayoendelea katika jamii. Mahakama imeacha kazi yake ya kusimamia sheria imeanza kujibizana na watu. Haijawahi kutokea popote duniani. Na sababu ni kwamba mahakama kwa "nature" yake haina jambo lolote la kuargue na umma. HALIPO.!

Mahakama kama mhimili wa dola unaojitegemea haubishani, haujawahi kubishana na hautakaa ubishane na umma kwa jambo lolote lile. Ndio maana hata mahakama ikituhumiwa huwezi kuona inafanya press conference kujibu. Duniani popote mahakama haijibizani na watu.

Katika kitabu Practitioner’s Guide to the Federal Circuit, kilichoandikwa na Melissa M.Devine anasema "Ukiona nchi yoyote ambayo mahakama imeanza kujibizana na umma (public), basi elewa kwamba nchi hiyo haina tena mhimili uitwao mahakama".

Kwa maelezo ya Mellisa inaonekana Tanzania tunakaribia kufikia stage hiyo (ya kukosa mhimili uitwao mahakama). So sad.!!

Malisa GJ
mnataka kuendesha nchi kama chama chenu kilivyo chagadema
 
Ukiacha Sheria nyingine, nenda kwenye Katiba ya Tanzania ibara ya 18 utaelewa vzr alichikifanya CJ Juma.
Ujaielewa ibara yenyewe inahusu nini kasome majukumu ya jaji na mahakama kwenye kipengele kinachohusu mahakama na majaji ndo unijibu. Ikokipengele hakiusiani na yanayoongelewa umu. Duh kumbe watanzania wengi hawajui sheria
 
Kwa mara ya kwanza tangu mhimili wa mahakama uanzishwe duniani, leo Jaji Mkuu wa TZ kafanya Press Conference kujibu mijadala inayoendelea katika jamii. Mahakama imeacha kazi yake ya kusimamia sheria imeanza kujibizana na watu. Haijawahi kutokea popote duniani. Na sababu ni kwamba mahakama kwa "nature" yake haina jambo lolote la kuargue na umma. HALIPO.!

Mahakama kama mhimili wa dola unaojitegemea haubishani, haujawahi kubishana na hautakaa ubishane na umma kwa jambo lolote lile. Ndio maana hata mahakama ikituhumiwa huwezi kuona inafanya press conference kujibu. Duniani popote mahakama haijibizani na watu.

Katika kitabu Practitioner’s Guide to the Federal Circuit, kilichoandikwa na Melissa M.Devine anasema "Ukiona nchi yoyote ambayo mahakama imeanza kujibizana na umma (public), basi elewa kwamba nchi hiyo haina tena mhimili uitwao mahakama".

Kwa maelezo ya Mellisa inaonekana Tanzania tunakaribia kufikia stage hiyo (ya kukosa mhimili uitwao mahakama). So sad.!!

Malisa GJ
Umenena vyema Siku zote vitendo huongea kuliko maneno!Vitendo hutasfsiri tabia za rohoni.Ni jambo jema wakaacha kupigwa picha na akina ayo,wakatende haki hadhira itahukumu hukumu ya haki.
 
Nyumbu bwana mapovu kibao mtabanwa mbavu mpk mnyooshe madole yenu hapa kazi tu timbwili kila kona mpk kwa wananchi tumewachoka
 
Attachments

  • VID-20170922-WA0046.mp4
    366.8 KB · Views: 10
Kama jamii tuna tatizo kubwa sana na suala la uwazi na upatikanaji wa habari na mojawapo ya matokeo ya hilo tatizo ni upotoshaji na watu kuishia kuamini mambo ya uongo.

Huyo mwandishi kadai kuwa "Kwa mara ya kwanza tangu mhimili wa mahakama uanzishwe duniani, leo Jaji Mkuu wa TZ kafanya Press Conference kujibu mijadala inayoendelea katika jamii."

Huo ni uongo mkubwa.

Mbona Jaji Mkuu wa Kenya huwa anafanya mkutano na waandishi wa habari?

Ona hapo

Ona na hapo pia

Mcheki na hapo...

Hiyo ni Kenya hapo...nchi jirani tu.

Haya..hebu cheki na huko Phillipines....

Huko Phillipines inaonyesha wana utaratibu wa jaji mkuu kukutana na waandishi wa habari kila mwaka

Muone tena hapa...

JokaKuu

Jaji mpaka kuongea maneno ya kuisafisha selikali unaita conference ya kuelimisha jamii na yeye ndio mtoa maamuzi mahakamani. Huu ni ubakaji wa haki za binadamu na muimili wa mahakama.mbona kamchagua baada ya kuona kimenuka. Huyo ni karani sio jaji
 
WilbroadG: Ndio ujue hivyo. Huyo Jaji mkuu ni jirani yetu huku kanda ya ziwa. Ni wa huku kwetu kanda ya ziwa. Huku kwetu tumejaliwa kutoa viongozi wengi sana! Yupo mkuu wa kaya, mwanasheria mkuu wa sirikale, mkuu wa JW, IGP, DPP, mawaziri wengi kuliko kanda yoyote, mlipaji mkuu wa sirikale, jaji mkuu wa nchi, RC wa Dar es Salaam, VC wa UDSM,n.k. Kwa kweli kwa vyeo vizito tu hatujambo. Kwa maoni yangu hii hali si ya afya kwa Taifa. Ila tuna asili ya ubabe, majivuno, kiburi, dharau, kejeli, maneno ya shombo/ukakasi, n.k. kwa ujumla hatuna huruma na tunakosa kabisa ubinadamu. Sijui ni kwa nini? Najitahidi nisiwe na hizo tabia. Kwa kweli kwa maoni yangu Nyerere aliona mbali kukataza haya makabila yetu makubwa kupewa madaraka makubwa
 
Ona bandiko langu hapo juu.

Hakuna kosa wala ubaya kwa jaji mkuu kuongea na waandishi wa habari.

Nakubaliana na wewe kuwa hakupaswa kutoa maoni yake kuhusu suala la TL.

Viongozi kuongea na waandishi wa habari ni jambo jema/ zuri tu.

..I agree with u 100%.

..kuna Mkutano wa Majaji Wakuu na Majaji toka nchi mbalimbali na Tz ndiyo mwenyeji.

..Kwa maana nyingine mhimili wa mahakama umepata ugeni mkubwa. Kuna Majaji Wakuu 10+ bao wamethibitisha kuhudhuria.

..Kwa hiyo ni halali kabisa Jaji Mkuu Prof.Juma kuita press conference na kuwataarifu wananchi.

..Alichokosea JAJI MKUU ni kuanza kuzungumzia mambo ya kisiasa huku akitumia TALKING POINT za mashabiki wa CCM.

..Kosa hili ndiyo limesababisha wasomaji wakapuuzia kabisa lengo kuu la Press Conf ya Jaji Mkuu.

..Yaani amepoteza kabisa kabisa malengo ya Press Conf yake. Wakati mwingine ni vizuri kujua unazungumza nini, mahali gani, na wakati gani.

Cc sekindunda
 
Kuna tatizo kubwa la vijana wa Chadema nadhani tokea wamekosa kiongozi. Sina shida na Patrobas ila nadhani Heche aliweza zaidi kuwasimamia vijana wenzake. Huu uropokaji uropokaji usio na lazima unaifanya taasisi nzima kuonekana kama kituko. Sasa baada ya facts kuhusu mkutano mkubwa wa taasis za mahakama kufanyika hapa nchini na jaji mkuu akiwa mwenyeji sasa huu ujinga wanauweka wapi?
hujaeleweka
 
Kama jamii tuna tatizo kubwa sana na suala la uwazi na upatikanaji wa habari na mojawapo ya matokeo ya hilo tatizo ni upotoshaji na watu kuishia kuamini mambo ya uongo.

Huyo mwandishi kadai kuwa "Kwa mara ya kwanza tangu mhimili wa mahakama uanzishwe duniani, leo Jaji Mkuu wa TZ kafanya Press Conference kujibu mijadala inayoendelea katika jamii."

Huo ni uongo mkubwa.

Mbona Jaji Mkuu wa Kenya huwa anafanya mkutano na waandishi wa habari?

Ona hapo

Ona na hapo pia

Mcheki na hapo...

Hiyo ni Kenya hapo...nchi jirani tu.

Haya..hebu cheki na huko Phillipines....

Huko Phillipines inaonyesha wana utaratibu wa jaji mkuu kukutana na waandishi wa habari kila mwaka

Muone tena hapa...

JokaKuu

Mkuu umemaliza...sijui watu wanapenda kupotosha umma ili iweje
 
WilbroadG: Ndio ujue hivyo. Huyo Jaji mkuu ni jirani yetu huku kanda ya ziwa. Ni wa huku kwetu kanda ya ziwa. Huku kwetu tumejaliwa kutoa viongozi wengi sana! Yupo mkuu wa kaya, mwanasheria mkuu wa sirikale, mkuu wa JW, IGP, DPP, mawaziri wengi kuliko kanda yoyote, mlipaji mkuu wa sirikale, jaji mkuu wa nchi, RC wa Dar es Salaam, VC wa UDSM,n.k. Kwa kweli kwa vyeo vizito tu hatujambo. Kwa maoni yangu hii hali si ya afya kwa Taifa. Ila tuna asili ya ubabe, majivuno, kiburi, dharau, kejeli, maneno ya shombo/ukakasi, n.k. kwa ujumla hatuna huruma na tunakosa kabisa ubinadamu. Sijui ni kwa nini? Najitahidi nisiwe na hizo tabia. Kwa kweli kwa maoni yangu Nyerere aliona mbali kukataza haya makabila yetu makubwa kupewa madaraka makubwa

Ulivyokuwa Kilaza basi Nyerere mwenyewe alitokea Kanda ya Ziwa na yeye kama ni upendeleo wa Watu wa ktk Kanda yake hakuna Raisi alijependelea kama Nyerere, kuanzia Mkono huyu ni Bilionea tangu enzi za Ujamaa, wakati wengine wote wanafilisiwa yeye alituhusiwa kuwa Bilionea, Jeshi lote alijaza watu wa Kanda Ziwa angalia uwiano wa Wakuu wa Majeshi wa ktk Kanda ya Ziwa na sehemu nyingine na Ukija kwenye vyeo vya chini ndiyo usiseme karibia wote Nyerere aliweka Kanda aliyotoka, ukija Waziri Mkuu Warioba wote hawa Nyerere aliwaibua kwa sababu ni wa kwao, ...
 
Attorney general anahusiana nini na chief justice?

Bibi jinga.
Wewe punguani kweli kweli huelewi kuwa hao wote ni wanasheria?

Hakika Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda kwa mijitu kama wewe.

Indeed a fag monkey you are.
 
Wewe punguani kweli kweli huelewi kuwa hao wote ni wanasheria?

Hakika Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda kwa mijitu kama wewe.

Indeed a fag monkey you are.
Aisee bibie kumbe wewe ni mweupe hivyo?
Afu badala yankukubali kurekebishwa unaleta ligi.
Nitakuwa nakupuuza sasa.
 
Back
Top Bottom