Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 42,140
- 101,509
Huyo lazima ni ex wako kuna kitu anataka š¹juzi tu apa,namba ngeni imenitafuta,kunisalimia mambo vip,nikamjibu safi,tena anaulza mzima,nikamjibu mtu akisema safi means mzima....... unajua alijibu ninš