Ukiona Dalili ifuatayo ujue hupendwi...

Ukiona Dalili ifuatayo ujue hupendwi...

Yeah! Mm nimesha acha huo upuuz kama mbwahi mbwahi tu, alafu unakuta mwanamke wahvyo akikutumia ka sms kamoja usikajibu inakua nongwa sijui huwa ni visa ili muachane?
Unakutana na wawapi hao? Dar?

Huku kwetu wako bize na shamba..
 
Nipeni ushauri kuna huyu nimempata tuna kama week mbili hivi kwenye relationship lkn mm ndie wa kumtafuta kilasiku isitoshe usiku huu nimempigia simu kaongea kdgo tu alf kanikatia , sijui ndio nimpotezee au niendelee kukomaa maana ndani ya week hizi mbili nilimcare sana nimempa pesa kweli kweli *****
 
Sio kweli, umeongea kinyume. Wanawake ndio wanaonekana wana jukumu la kulinda mahusiano na hata ndoa, ndio maana kila mahali utaona wanawake wanafundwa namna ya kumtunza mume sijawahi kuona wanaume wanafundwa kumtunza mke
Mwanaume anafundishwa kuishi na mwanamke kiakili
 
Nipeni ushauri kuna huyu nimempata tuna kama week mbili hivi kwenye relationship lkn mm ndie wa kumtafuta kilasiku isitoshe usiku huu nimempigia simu kaongea kdgo tu alf kanikatia , sijui ndio nimpotezee au niendelee kukomaa maana ndani ya week hizi mbili nilimcare sana nimempa pesa kweli kweli *****
Akupendi hata kidogo
 
Na mtu jamani hakupigi wala hakujulii hali yeye ni hasira tu masaa yote nakukushutumu kwa hili au lile anapenda mapenzi kushinda chai jamani huyu ananja tu ila mapenzi hakuna napia shida ni hii usipompa ndio visa vinaanza .
Swali amepewaga hapana
Umeandika vitu gani sasa,[emoji19][emoji37]
 
Nipeni ushauri kuna huyu nimempata tuna kama week mbili hivi kwenye relationship lkn mm ndie wa kumtafuta kilasiku isitoshe usiku huu nimempigia simu kaongea kdgo tu alf kanikatia , sijui ndio nimpotezee au niendelee kukomaa maana ndani ya week hizi mbili nilimcare sana nimempa pesa kweli kweli *****
Tunda la kati ameshakupa au bado?
 
Mara chache sana lakn tambua kuwa mwanamke ukijifanya kumjali sana anakudharau mno kisa anatambua unampenda hv viumbe vinamaigizo sana honestly i hate em.
You hate Women so you love Men.
 
Yeah! Mm nimesha acha huo upuuz kama mbwahi mbwahi tu, alafu unakuta mwanamke wahvyo akikutumia ka sms kamoja usikajibu inakua nongwa sijui huwa ni visa ili muachane?
Wanajifanya wao pumzi au misosi pumbaaavu
 
Nipeni ushauri kuna huyu nimempata tuna kama week mbili hivi kwenye relationship lkn mm ndie wa kumtafuta kilasiku isitoshe usiku huu nimempigia simu kaongea kdgo tu alf kanikatia , sijui ndio nimpotezee au niendelee kukomaa maana ndani ya week hizi mbili nilimcare sana nimempa pesa kweli kweli *****
Bado hujawa sumaku!

Tafuta sehem ambayo wewe ndiyo utakua sumaku.
 
Wanajifanya wao pumzi au misosi pumbaaavu
Wajinga tu na mm huwa sicheleweshi mwanamke hat kama nampenda aisee akileta zengwe kapuni cjui kama ntakuja oa maana nna roho ndogo sana.
 
Back
Top Bottom