Sijuie wewe unaonajeUmeandika vitu gani sasa,[emoji19][emoji37]
Tobaaaa umesemaaaaa!!?Sijuie wewe unaonaje
Tobaaaa umesemaaaaa!!?
Namjuaaa ila napenda kumchokoza ili apanicHahahaha, huyo mzoee tu.
Habari wanajanvi?
Bila shaka wengne mmelela lakn mkiamka mtaukuta huu uzi.
Hii mada inahusu wale ambao hujifanya wanajua ku-care pale umeanza mahusiano na she, then wewe ndio kila siku unapiga simu nakuanza kujibebisha mara i love u, mara i mic u, alafu mpenzi wako anajibu asante.
Mara wewe ndo wa kutuma meseji yeye hakuanzi aisee ukiona hvyo minya mbio hupendwi babaaa.
Kanuni za mabaharia nikuminya mbio sio kujikaza kisabuni nakuendelea kujibebisha.
Una hamu kubwa ya kudharauliwaKazi ya mwanaume ni kupenda mkuu kum care mwanamke ni jukumu la mwanaume ndo maana tunaanza kutongoza sisi...wewe mwanamke anachotakiwa kufanya kwako ni kukutii na kukuheshimu
Ndio maana wanawake wengi wanalalamika wanaume hatupo romantiki sasa girls asipokutext unanuna na ww unavimba mpaka akuanze
Ukiona kimya we mcheki siku akikutamkia hakutaki basi mteme me huwa sijari ata wiki nzima usiponianza mimi nitakucheki tu i know my responsibilities....tusijiringanishe na watoto wa kike
Ukweli Mtupu..Habari wanajanvi?
Bila shaka wengne mmelela lakn mkiamka mtaukuta huu uzi.
Hii mada inahusu wale ambao hujifanya wanajua ku-care pale umeanza mahusiano na she, then wewe ndio kila siku unapiga simu nakuanza kujibebisha mara i love u, mara i mic u, alafu mpenzi wako anajibu asante.
Mara wewe ndo wa kutuma meseji yeye hakuanzi aisee ukiona hvyo minya mbio hupendwi babaaa.
Kanuni za mabaharia nikuminya mbio sio kujikaza kisabuni nakuendelea kujibebisha.
Baby. I miss youMwanaume anaetuma "i mic u" huyo sio baharia.
Now that's how a man texts.Baby. I miss you
Mbaya zaidi anaziona miss call zako lakini hakutafti japo akudanganye simu ilkua chaji nayeye alikua nje anafua au unatuma sms haijibiwiDaah. Ila inahitaji moyo kumpigia mtu simu mara kwa mara mtu ambaye hataki kupokea simu zako.