nickder
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 211
- 152
na itabid ulipuke tu hamna namna manake kila siku unampigia hapokei leo kapokea anakuomba pesa aaaah baharia kwa kutaka kuonekana unajali mwenye mapendo lazima zikutoke piga ua garagazaInakuaje demu wako akitaka kupokea simu zote za wanaume wanaomtongoza?ukiona hizo dalili kula kona kuna chance kubwa ya kuja kuumizwa siku mambo yake hayaendi poa anapokea na anakupiga kibom cha kufa mtu