Ukiona Dalili ifuatayo ujue hupendwi...

Ukiona Dalili ifuatayo ujue hupendwi...

Daah. Ila inahitaji moyo kumpigia mtu simu mara kwa mara mtu ambaye hataki kupokea simu zako.

Inakuaje demu wako akitaka kupokea simu zote za wanaume wanaomtongoza?ukiona hizo dalili kula kona kuna chance kubwa ya kuja kuumizwa siku mambo yake hayaendi poa anapokea na anakupiga kibom cha kufa mtu
 
Hapo nimekuelewa sana.
 
Habari wanajanvi? Bila shaka wengne mmelela lakn mkiamka mtaukuta huu uzi.
Hii maada inahusu wale ambao hujifanya wanajua ku care pale umeanza mahusiano na she, then ww ndio kila siku unapiga sim nakuanza kujibebisha mara i love u, mara i mic u, alafu mpenz wako anajibu asante.
Mara ww ndo wa kutuma meseji yeye hakuanzi aisee ukiona hvyo minya mbio hupendwi babaaa.
Kanuni za mabaharia nikuminya mbio sio kujikaza kisabuni nakuendelea kujibebisha.
Kama unanisema mimi vile!! tuna mwezi Mmoja hivi sasa tangu tuanze mahusiano,ila kamwe hajawahi kunitumia sms Wala kunipigia kila siku naanza mimi,leo siku ya tatu nimetia mgomo naye kagoma,liwalo na liwe simtafuti nng'oo yeye sio chakula au maji kwamba nikivikosa nitakufa njaa.
 
Mnapoingia kwenye relation na msichana..wewe unakua na asilimia mia za upendo yeye anaweza kua na sifuri...ni juhudi zako zinatakiwa ziwepo ili na msichana zipande ziwe kubwa.

By the way sijui kwa nini wasichana wanatupa wanaume kazi ya kulinda mahusiano wao wanaojionaje sijui...wako nyuma kila kitu hadi wafanyiwe

Eti dada zetu swali langu ni kwa nini nyie hamjitumi kwenye kulinda uhusiano kama sisi wanaume?

Mnaonaga kama ni jukumu letu wanaume pekee.
Ni wewe tu ndo unafanya juhudi za kulinda penzi, ila kwenye relationships nyingi mwanamke ndo anahangaika
 
Ni

Sio kwamba imenitokea mkuu...ni mtazamo tu.

Ni vitu gani wanawake mnafanya kuona mnalinda penzi?
 
Tunatendwa sana lakini bado tunang'ang'ania tu. Unakuta unadharauliwa wazi wazi lkn unavumilia na kuhisi labda mtu atabadilika lkn wapi. Mifano ni mingi na ipo wazi
 
Kila upande unatendwa ila watu ambao wanapambana kulinda relation mostly ni wanaume...ndo vile tu wanaume huwa hatuna utamaduni wa kuongea kila kitu kama nyie wasichana.
 
May be. Lkn mimi sijawahi kukutana na mwanaume wa hivyo
 
Mnapoingia kwenye relation na msichana..wewe unakua na asilimia mia za upendo yeye anaweza kua na sifuri...ni juhudi zako zinatakiwa ziwepo ili na msichana zipande ziwe kubwa.

By the way sijui kwa nini wasichana wanatupa wanaume kazi ya kulinda mahusiano wao wanaojionaje sijui...wako nyuma kila kitu hadi wafanyiwe

Eti dada zetu swali langu ni kwa nini nyie hamjitumi kwenye kulinda uhusiano kama sisi wanaume?

Mnaonaga kama ni jukumu letu wanaume pekee.
Kuna ukweli mkubwa sana hapa. Nime experience hii kwenye my more than four breakups. In the first days of relation i always used to suffer alot,but as the days go on they have been suffering alot with lots of romantic sms
 
Kama unanisema mimi vile!! tuna mwezi Mmoja hivi sasa tangu tuanze mahusiano,ila kamwe hajawahi kunitumia sms Wala kunipigia kila siku naanza mimi,leo siku ya tatu nimetia mgomo naye kagoma,liwalo na liwe simtafuti nng'oo yeye sio chakula au maji kwamba nikivikosa nitakufa njaa.
Yeah! Mm nimesha acha huo upuuz kama mbwahi mbwahi tu, alafu unakuta mwanamke wahvyo akikutumia ka sms kamoja usikajibu inakua nongwa sijui huwa ni visa ili muachane?
 
Kuna ukweli mkubwa sana hapa. Nime experience hii kwenye my more than four breakups. In the first days of relation i always used to suffer alot,but as the days go on they have been suffering alot with lots of romantic sms
Mara chache sana lakn tambua kuwa mwanamke ukijifanya kumjali sana anakudharau mno kisa anatambua unampenda hv viumbe vinamaigizo sana honestly i hate em.
 
Back
Top Bottom